Nashauri Serikali itoe mikopo kwa wanafunzi wa masters bila kuweka kigezo cha kuajiriwa serikalini bali kigezo kiwe gpa 3.5 undergraduate

Munch wa annabelletz47

JF-Expert Member
Joined
Aug 13, 2019
Posts
1,885
Reaction score
3,227
Kigezo cha kuajiriwa serikalini ni unyonyaji usio na mantiki yoyote. Kinacholenga kutufanya taifa lenye watu wengi wasio na elimu ya kutosha, hali inayokwamisha maendeleo ya kitaifa katika nyanja mbalimbali.

Vijana wenye maarifa na damu changa hukosa nafasi, na hivyo, sekta za serikali na hata binafsi hubaki mikononi mwa wazee waliochoka, wagonjwa, na wasioendana na kasi ya mabadiliko ya teknolojia na sayansi.

Hali hii imesababisha udumavu wa fikra na ukosefu wa maono ya muda mrefu katika taasisi nyingi. Wengi wa wabobezi wanaojaza nafasi muhimu ni watu waliokata tamaa, wasioweza kuhimili changamoto za ulimwengu wa kisasa, na ambao mawazo yao ya kizamani yanazidi kuathiri ufanisi wa mashirika na sekta binafsi.

Ni wazi kwamba nchi zinazowekeza kwa dhati kwenye elimu, kama Korea Kusini, zimepiga hatua kubwa kwa muda mfupi.

Tunapaswa kuiga mfano huo kwa kuhakikisha tunakuza kizazi chenye elimu bora, maarifa ya kisasa, na uwezo wa kutumia teknolojia kwa manufaa ya taifa.

Hii itasaidia kujenga msingi thabiti wa maendeleo endelevu na kufanikisha malengo ya kitaifa.
 
Hiyo GPA ina guarantee vipi serikali kupata pesa yake ya marejesho?

Hoja iwe serikali itoe mikopo kwa watu wanaosoma masters bila vigezo, sasa wewe unataka wlioajiriwa serikali isiwe kigezo lakini unataka gpa iwe kigezo. Huo ndio ubinafsi.
 
Nmeweka gpa hyo kwasababu hao wenye GPA hyo ni multipurpose wanaweza kuwa hata wakufunzi wasaidizi kwenye vyuo na taasisi mbalimbali
 
Hiyo GPA ina guarantee vipi serikali kupata pesa yake ya marejesho?

Hoja iwe serikali itoe mikopo kwa watu wanaosoma masters bila vigezo, sasa wewe unataka wlioajiriwa serikali isiwe kigezo lakini unataka gpa iwe kigezo. Huo ndio ubinafsi.
Kwani huko serikalini kwenyewe wana uhakikawa kupata ajira?
 
Mtu umepata hadi gpa ya 3.5 bado unataka mkopo kutoka serikalini sii utumie hiyo gpa upate pesa za kusoma masters.
Kuhusu hao tutorial assistant wenyewe wanapewa ruzuku baada ya kupata ajira so wanatumika kwenye baadhi ya majukumu ya kiukufunzi.
Mimi naona bora serikali iongeze nguvu kutoka mikopo kwenye vyuo vya kati hasahasa vinayotoa elimu ya ufundi
 
Hakuna nchi inaendlea kwa kuwa na undergraduate wengi bila wabobevu na watu wa falsafa (PhD)
 
Ya nikweli kabisa usemalo ila tatizo linakuja pale ambapo mtu atataka serikali itoe mkopo ili ukasome hiyo Phd.
Nibora mtu kujitafutia hata scholarship kutoka vyuo vya njee maana huwa wanatoa ufadhili kwa wanafunzi wenye matokeo mazuri.
Undergraduate tu wengine wanamaliza na deni mil 32 upewe na masters na PhD hadi kumaliza utajikuta unadaiwa mil 200 halafu unarudi kukaa nyumbani bila kazi.
 
Kigezo cha kuajiriwa serikalini ni unyonyaji usio na mantiki yoyote. Kinacholenga kutufanya taifa lenye watu wengi wasio na elimu ya kutosha, hali inayokwamisha maendeleo ya kitaifa katika nyanja mbalimbali.

Vijana wenye maarifa na damu changa hukosa nafasi, na hivyo, sekta za serikali na hata binafsi hubaki mikononi mwa wazee waliochoka, wagonjwa, na wasioendana na kasi ya mabadiliko ya teknolojia na sayansi.

Hali hii imesababisha udumavu wa fikra na ukosefu wa maono ya muda mrefu katika taasisi nyingi. Wengi wa wabobezi wanaojaza nafasi muhimu ni watu waliokata tamaa, wasioweza kuhimili changamoto za ulimwengu wa kisasa, na ambao mawazo yao ya kizamani yanazidi kuathiri ufanisi wa mashirika na sekta binafsi.

Ni wazi kwamba nchi zinazowekeza kwa dhati kwenye elimu, kama Korea Kusini, zimepiga hatua kubwa kwa muda mfupi.

Tunapaswa kuiga mfano huo kwa kuhakikisha tunakuza kizazi chenye elimu bora, maarifa ya kisasa, na uwezo wa kutumia teknolojia kwa manufaa ya taifa.

Hii itasaidia kujenga msingi thabiti wa maendeleo endelevu na kufanikisha malengo ya kitaifa.
Hoja ya walioajiriwa Serikalini kupewa mkopo ni urahisi wa urejeshaji wa mkopo husika. Tena kwa hatua za masters, Serikali inapaswa kutoa mkopo kwa baadhi ya course chache hasa zilizo na uwe wa kukuza uchumi kwa haraka pamoja zile za sayansi. Kama vijana wana akili hizo unazozieleza, mbona wasikope benki ili watumie hizo akili kulipa mkopo huo?
 
Kiongozi kozi zote za STEM unasoma, hakuna masharti uliyo yataja. Jiandae kuomba next window. Karibu Nm-aist hapa Arusha.
 
Kigezo cha kuajiriwa serikalini ni unyonyaji usio na mantiki yoyote. Kinacholenga kutufanya taifa lenye watu wengi wasio na elimu ya kutosha, hali inayokwamisha maendeleo ya kitaifa katika nyanja mbalimbali.

Vijana wenye maarifa na damu changa hukosa nafasi, na hivyo, sekta za serikali na hata binafsi hubaki mikononi mwa wazee waliochoka, wagonjwa, na wasioendana na kasi ya mabadiliko ya teknolojia na sayansi.

Hali hii imesababisha udumavu wa fikra na ukosefu wa maono ya muda mrefu katika taasisi nyingi. Wengi wa wabobezi wanaojaza nafasi muhimu ni watu waliokata tamaa, wasioweza kuhimili changamoto za ulimwengu wa kisasa, na ambao mawazo yao ya kizamani yanazidi kuathiri ufanisi wa mashirika na sekta binafsi.

Ni wazi kwamba nchi zinazowekeza kwa dhati kwenye elimu, kama Korea Kusini, zimepiga hatua kubwa kwa muda mfupi.

Tunapaswa kuiga mfano huo kwa kuhakikisha tunakuza kizazi chenye elimu bora, maarifa ya kisasa, na uwezo wa kutumia teknolojia kwa manufaa ya taifa.

Hii itasaidia kujenga msingi thabiti wa maendeleo endelevu na kufanikisha malengo ya kitaifa.

Kama undergraduate degree haijasaidia kutatua changamoto na kupata ada ya kwenda uzamili nadhani huo uzamili hauna faida yoyote kwa serikali.​
 
Kigezo cha kuajiriwa serikalini ni unyonyaji usio na mantiki yoyote. Kinacholenga kutufanya taifa lenye watu wengi wasio na elimu ya kutosha, hali inayokwamisha maendeleo ya kitaifa katika nyanja mbalimbali.

Vijana wenye maarifa na damu changa hukosa nafasi, na hivyo, sekta za serikali na hata binafsi hubaki mikononi mwa wazee waliochoka, wagonjwa, na wasioendana na kasi ya mabadiliko ya teknolojia na sayansi.

Hali hii imesababisha udumavu wa fikra na ukosefu wa maono ya muda mrefu katika taasisi nyingi. Wengi wa wabobezi wanaojaza nafasi muhimu ni watu waliokata tamaa, wasioweza kuhimili changamoto za ulimwengu wa kisasa, na ambao mawazo yao ya kizamani yanazidi kuathiri ufanisi wa mashirika na sekta binafsi.

Ni wazi kwamba nchi zinazowekeza kwa dhati kwenye elimu, kama Korea Kusini, zimepiga hatua kubwa kwa muda mfupi.

Tunapaswa kuiga mfano huo kwa kuhakikisha tunakuza kizazi chenye elimu bora, maarifa ya kisasa, na uwezo wa kutumia teknolojia kwa manufaa ya taifa.

Hii itasaidia kujenga msingi thabiti wa maendeleo endelevu na kufanikisha malengo ya kitaifa.
Huo si mkopo tena, ni fund. Ukiondoa kigezo cha kuajiriwa, ni nanmna gani watakuwa guaranteed kuwa hiyo pesa itarudi?
 
Kama kwa degree hujatoboa ili uweze kulipia hio masters, bora kua mpole tu
 
Back
Top Bottom