#COVID19 Nashauri Serikali wapike pilau na nyama pia na soda kwenye vituo vya kutolea chanjo

#COVID19 Nashauri Serikali wapike pilau na nyama pia na soda kwenye vituo vya kutolea chanjo

Chanjo zenyewe hazitoshi mbona. Wengi hawana vigezo vya kupata chanjo
 
Marekani kwenyewe watu hawataki kuchanjwa mpaka imebidi waseme atakae chanjwa atapata tsh 230,000
 
Mnatuonaje?,kumbe mnajua wananchi Wana njaa🤔🤔,, au mnatafuta dataset ya watu milioni moja who are unhesitant ,mkatengeneze stadi za efficacy mwishowe J&J stock zao zipande?
 
Naunga mkono hoja, kachumbali ziwe aina mbili moja ina pilipili nyingine wasiweke ili wote tuinjoi....
 
Back
Top Bottom