ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
unakuta shule nzuri inajengwa inaelekea kukamilika katika halmshauri fulani lakini miti haijapandwa inasubiri mpaka ajage mwalimu mpenda miti au mwanafunzi mpenda bustani aaanzishe miche so inachukua miaka mingi..
Wakati kulikuwa na uwezekano kipindi ujenzi unaanza palepale inapandwa ya matunda na kivuli..mpaka inakuja kukamilika unakuta ishakuwa mikubwa.Na sio shuke pekee hata vituo vya afya au majengo yoyote ya huduma za wananchi.