Nashauri, Tar 20 April, Simba SC, asiingize timu uwanjani, kutakuwa na udhalilishaji

Nashauri, Tar 20 April, Simba SC, asiingize timu uwanjani, kutakuwa na udhalilishaji

Zamani gani unayoongelea Mkuu? Umesahau ni mwaka jana tu hapo April 16 walitufunga 2-0 na tulikuwa na hadi Mayele ndani? Ni kwamba tuombe tu kheri wasituotee mapema tena.

Hakuna cha kuomba Mungu, kwa ile beki ya Yanga , hao SSC wataishia huko huko

Tumeweza kumtoa mamelody na wachezaji wao mmoja tu ana thamani ya 10B , na tumemtoa kwenye michiano ya klabu bingwa na wakatumia nguvu kujipeleka

A goal that never was
 
Yanga ni timu bora kwa sasa kuliko SSC ya miaka 5 combined

Usi compare Yanga na vitu vya hovyo
Kwa vigezo vipi? Au ni mihemko yako ya kishabiki tu, yanga katolewa na timu ndogo Sana kwenye michuano ya kimataifa.
 
IMG_1762.jpg
 
Nifah, hayo ni mambo ya kizamani achana nayo hayapo.

Sio mbali ni tar 20 , SSC goli za chini atachezea tatu

Ni rahisi Yanga kufungwa na Ihefu au Azam lakini sio SSC hii ya mchongo chini ya con artist Mo
Nifah yupo sahihi, unasemaje mambo ya kizamani wakati ni msimu uliopita tu hapa tena timu ikiongozwa Prof Nabi?
Mechi za Derby ya Simba na Yanga hazitabirikagi
 
Nifah yupo sahihi, unasemaje mambo ya kizamani wakati ni msimu uliopita tu hapa tena timu ikiongozwa Prof Nabi?
Mechi za Derby ya Simba na Yanga hazitabirikagi

Sio Yanga hii
 
Mo atoke timu upewe wewe au mjomba wako jinga sana wewe unajua gharama za kuendesha timu!!!
 
Mo atoke timu upewe wewe au mjomba wako jinga sana wewe unajua gharama za kuendesha timu!!!

Kwahiyo MO ndio anatoa gharamaa ya kuendesha timu [emoji38]

Tatizo lingine pia la TZ ni elimu
 
Mo atoke timu upewe wewe au mjomba wako jinga sana wewe unajua gharama za kuendesha timu!!!

Kama ulikuwa hujui, kuna muwekezaji kutoka Morocco anaitaka sana SSC

Shida ipo mo
 
Mkuu, mechi za kariakoo haziamuliwi na ubora wa kikosi. Mimi niliamini hilo Yanga iliyokuwa bora kabisa tukafungwa 2-0 na Simba iliyokuwa inachechemea pale kwa Mkapa tena tukiponea chupuchupu kuongezwa! Kiufupi tulinyanyasika.
Hakuna namna Simba kuambilia hata droo hiyo siku.
 
Hakuna cha kuomba Mungu, kwa ile beki ya Yanga , hao SSC wataishia huko huko

Tumeweza kumtoa mamelody na wachezaji wao mmoja tu ana thamani ya 10B , na tumemtoa kwenye michiano ya klabu bingwa na wakatumia nguvu kujipeleka

A goal that never was
Simba imechoka sana mkuu, kikosi hakina rotation nzuri, mfano yule Ngoma sijui kama aliwahi kupumzika, kadri mechi zinavyoenda ndivyo anavyozidi kudrop.

Mpira pekee pale Simba upo kwa Chama, Kibu Denis kinachofanya aonekane uwanjani ni zile nguvu na ukabaji ila mbali na hapo hana tofauti na wachezaji wa Ihefu, Mtibwa Sugar n.k

Yanga ikifanikiwa kumuweka mfukoni tena Chama, Yanga ana nafasi ya kumiliki hiyo mechi kwa asilimia kubwa na kupata ushindi mzuri.
 
Ndugu wana SSC, kama mnavyojua timu yetu pendwa imeshapoteana na mpaka sasa haijulikani mkwamo upo wapi.

Kuna changamoto kuu 4 hazina majibu !

1. Career development ya timu haipo, kama mnavoona focus ya timu ipo kwenye matangazo na branding, na sio ubora wa timu

2. Binafsi, natamani Mo atolewe SSC, ili timu ijulikane haina muwekezaji and the right one will come, tupo kwenye comfort zone ya Mo , ndio inawatesa wana SSC. Binafsi uwekezaji wa mwamedi ninauona wa mchongo sana

3. SIMBA SSC Haina kamati ya Usajili, inakwenda kucheza na yanga iliyobora na imefuzu nusu fainal klabu bingwa lakini wakadhulumiwa.

Kwangu mimi Mamelody alitolewa and yanga has proven to be the best club in Africa. Best team na I am sure kama tukirudia game na mamelody , atafungwa bila wasi. Kwa sasa Yanga ndio timu kubwa Africa. Na kama Yanga angepangiwa na Al ahly basi leo hii Yanga ingekuwa ipo final . Kama sio Yanga kufanyiwa fitna, nina hakika 95% Yanga angechukua Kombe la Africa at the first opportunity.

4. Sijawahi kuwa na imani na uongozi wa wazee, hivyo Salim na mwenzie wakae pembeni, inawezekana tatizo lipo hapa pia

Anyway, my point ni SSC isiingize timu tar 20 , tutashuhudia aibu ya mwaka, this time zitapigwa 12 , Hasira zote za Dar Young Africans za kudhulumiwa goli halali la Stephan Aziz K watazishushia kwa SSC. Ninaona Benchika akitimuliwa kama kafara , lakini tatzo sio kocha, kila mtu anajua shda nini.
Yaani hapo badooo..!! Yaani mpaka msemeeee..!!

Ndo ukubwa huo..!! Hapo ndo unakua..!!
 
Hata kwa kuloga SSC hawezi kuifunga hii Yanga trust me . SSC akichezea goli chache basi ni 3 bila

Ni rahisi Yanga kufungwa na Ihefu sio SSC. Yaani hii SSC ya sasa ndio imfunge Yanga

Never on earth
Hata kwenye mechi za ndani Simba unaiona kabisa inavyohema kutafuta matokeo kwa mbinde.
 
That is your comfort zone. Kuna watu wengi sana wanaitamani SSC.
Hao watu wengi ni kina nani? Wamefanya nini kuonyesha huo uhitaji? Unaweza taja watatu wa mfano?
Lakini kiuhalisia wapo wanaume tunamtamani huyo mwanamke tumpe mapenzi bora. Comfort zone yake ndio itamfanya aendelee na mateso
Kuwa serious, Wanasimba tunataka timu iwe vizuri sio ipotee zaidi. Kama kuna mbadala wa Mo ambao ni bora tunautaka ila tusicheze bahati nasibu tukajikuta tumekaa miaka 4 na zaidi tukisubiri wa kuichukua nafasi ya Mo. Thus, kama kweli ww una hakika kuwa kuna mbadala wa Mo, embu jibu hayo maswali hapo juu.
GSM anatoa yanga less than 3 B , pesa nyingine zinatoka wapi?
Sio kweli kuwa Mo ndio anaisaidia SSC , SSC inamapato yake MO pia anafanya biashara snaa lupitia SSC. SimBa haiwezi kukosa mdhamini wa maana akiondoka MO, kwangu MO yupo kwa manufaa yake binafsi
Fuatilia speech ya Samia suluhu siku aliyozungumza kuhusu ishu ya Fei, kuna jambo alizungumza kwa GSM. Halafu utajua kuwa club haitengenezi mapato ya kutosha kuweza kujiendesha na inamhitaji mwekezaji. Yanga kabla ya gsm ilikuaje? Hapakuwa na kutembeza bakuli? Mapato ya timu yalikuwa wapi kuiendesha timu?
SSC inapata hela za makundi, robo final n’a inamapato

MO akiondolewa SSC , nakupa miezi 6 inapata mdhamini
Kwanini miezi 6? Kwanini siyo miezi 2? Au mwaka 1 au miaka 5?
 
Hata kwenye mechi za ndani Simba unaiona kabisa inavyohema kutafuta matokeo kwa mbinde.
Jana Mashujaa walikuwa 9 uwanjani huku 5imba wakiwa na first 11 yao, lakini wapi, AWILE MUNDU..!!

JANA 5IMBA WAMETIGITWA..!!
 
Back
Top Bottom