Benny Haraba
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 13,336
- 12,370
Social inference
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Social inference
Zamani gani unayoongelea Mkuu? Umesahau ni mwaka jana tu hapo April 16 walitufunga 2-0 na tulikuwa na hadi Mayele ndani? Ni kwamba tuombe tu kheri wasituotee mapema tena.
Kwa vigezo vipi? Au ni mihemko yako ya kishabiki tu, yanga katolewa na timu ndogo Sana kwenye michuano ya kimataifa.Yanga ni timu bora kwa sasa kuliko SSC ya miaka 5 combined
Usi compare Yanga na vitu vya hovyo
Nifah yupo sahihi, unasemaje mambo ya kizamani wakati ni msimu uliopita tu hapa tena timu ikiongozwa Prof Nabi?Nifah, hayo ni mambo ya kizamani achana nayo hayapo.
Sio mbali ni tar 20 , SSC goli za chini atachezea tatu
Ni rahisi Yanga kufungwa na Ihefu au Azam lakini sio SSC hii ya mchongo chini ya con artist Mo
Wala siyo mmoja wapo wawili lakini hatutaki tumeridhika na uwekezaji wa Mo..Kama ulikuwa hujui, kuna muwekezaji kutoka Morocco anaitaka sana SSC
Shida ipo mo
Hakuna namna Simba kuambilia hata droo hiyo siku.Mkuu, mechi za kariakoo haziamuliwi na ubora wa kikosi. Mimi niliamini hilo Yanga iliyokuwa bora kabisa tukafungwa 2-0 na Simba iliyokuwa inachechemea pale kwa Mkapa tena tukiponea chupuchupu kuongezwa! Kiufupi tulinyanyasika.
Kwetu ngao ya jamii ndo ilikuwa kipaumbele chetu kikubwa kuliko ligi na shirikisho.Muhimu tumeshinda Ngao ya Jamii kupitia mikwaju ya penati. Hivyo hayo ni mafanikio yetu tosha kwa msimu huu.
Simba imechoka sana mkuu, kikosi hakina rotation nzuri, mfano yule Ngoma sijui kama aliwahi kupumzika, kadri mechi zinavyoenda ndivyo anavyozidi kudrop.Hakuna cha kuomba Mungu, kwa ile beki ya Yanga , hao SSC wataishia huko huko
Tumeweza kumtoa mamelody na wachezaji wao mmoja tu ana thamani ya 10B , na tumemtoa kwenye michiano ya klabu bingwa na wakatumia nguvu kujipeleka
A goal that never was
Yaani hapo badooo..!! Yaani mpaka msemeeee..!!Ndugu wana SSC, kama mnavyojua timu yetu pendwa imeshapoteana na mpaka sasa haijulikani mkwamo upo wapi.
Kuna changamoto kuu 4 hazina majibu !
1. Career development ya timu haipo, kama mnavoona focus ya timu ipo kwenye matangazo na branding, na sio ubora wa timu
2. Binafsi, natamani Mo atolewe SSC, ili timu ijulikane haina muwekezaji and the right one will come, tupo kwenye comfort zone ya Mo , ndio inawatesa wana SSC. Binafsi uwekezaji wa mwamedi ninauona wa mchongo sana
3. SIMBA SSC Haina kamati ya Usajili, inakwenda kucheza na yanga iliyobora na imefuzu nusu fainal klabu bingwa lakini wakadhulumiwa.
Kwangu mimi Mamelody alitolewa and yanga has proven to be the best club in Africa. Best team na I am sure kama tukirudia game na mamelody , atafungwa bila wasi. Kwa sasa Yanga ndio timu kubwa Africa. Na kama Yanga angepangiwa na Al ahly basi leo hii Yanga ingekuwa ipo final . Kama sio Yanga kufanyiwa fitna, nina hakika 95% Yanga angechukua Kombe la Africa at the first opportunity.
4. Sijawahi kuwa na imani na uongozi wa wazee, hivyo Salim na mwenzie wakae pembeni, inawezekana tatizo lipo hapa pia
Anyway, my point ni SSC isiingize timu tar 20 , tutashuhudia aibu ya mwaka, this time zitapigwa 12 , Hasira zote za Dar Young Africans za kudhulumiwa goli halali la Stephan Aziz K watazishushia kwa SSC. Ninaona Benchika akitimuliwa kama kafara , lakini tatzo sio kocha, kila mtu anajua shda nini.
Hata kwenye mechi za ndani Simba unaiona kabisa inavyohema kutafuta matokeo kwa mbinde.Hata kwa kuloga SSC hawezi kuifunga hii Yanga trust me . SSC akichezea goli chache basi ni 3 bila
Ni rahisi Yanga kufungwa na Ihefu sio SSC. Yaani hii SSC ya sasa ndio imfunge Yanga
Never on earth
Hao watu wengi ni kina nani? Wamefanya nini kuonyesha huo uhitaji? Unaweza taja watatu wa mfano?That is your comfort zone. Kuna watu wengi sana wanaitamani SSC.
Kuwa serious, Wanasimba tunataka timu iwe vizuri sio ipotee zaidi. Kama kuna mbadala wa Mo ambao ni bora tunautaka ila tusicheze bahati nasibu tukajikuta tumekaa miaka 4 na zaidi tukisubiri wa kuichukua nafasi ya Mo. Thus, kama kweli ww una hakika kuwa kuna mbadala wa Mo, embu jibu hayo maswali hapo juu.Lakini kiuhalisia wapo wanaume tunamtamani huyo mwanamke tumpe mapenzi bora. Comfort zone yake ndio itamfanya aendelee na mateso
Fuatilia speech ya Samia suluhu siku aliyozungumza kuhusu ishu ya Fei, kuna jambo alizungumza kwa GSM. Halafu utajua kuwa club haitengenezi mapato ya kutosha kuweza kujiendesha na inamhitaji mwekezaji. Yanga kabla ya gsm ilikuaje? Hapakuwa na kutembeza bakuli? Mapato ya timu yalikuwa wapi kuiendesha timu?GSM anatoa yanga less than 3 B , pesa nyingine zinatoka wapi?
Sio kweli kuwa Mo ndio anaisaidia SSC , SSC inamapato yake MO pia anafanya biashara snaa lupitia SSC. SimBa haiwezi kukosa mdhamini wa maana akiondoka MO, kwangu MO yupo kwa manufaa yake binafsi
Kwanini miezi 6? Kwanini siyo miezi 2? Au mwaka 1 au miaka 5?SSC inapata hela za makundi, robo final n’a inamapato
MO akiondolewa SSC , nakupa miezi 6 inapata mdhamini
Jana Mashujaa walikuwa 9 uwanjani huku 5imba wakiwa na first 11 yao, lakini wapi, AWILE MUNDU..!!Hata kwenye mechi za ndani Simba unaiona kabisa inavyohema kutafuta matokeo kwa mbinde.
🚮Wapili utakuwa ni wewe