Nashauri TFF watengeneze kombe kwa ajili ya yanga kuwafunga Simba watengeneze kombe kwa ajiri ya Yanga kuwafunga Simba

ni kitu cha kawaida sana simba kuwa mnyonge mbele ya yanga hata kama atabeba kombe miaka 10 mfululizo... ni sawa na man u kwa liver! liverpool amekaa miaka 30 bila kombe na hajawahi kuwa mnyonge wa man u

so ni lazima mjifariji ili roho zenu zisuuzike ila ukweli utabaki palepale, yanga hajawahi na hawezi kamwe kuja kuwa mnyonge wa paka fc
 
Tatizo la kuujua mpira juzi.

Back to back kati yao, Yanga ni kinara.

Idadi ya makombe, ubingwa wa nchi Yanga ni kinara. Tupunguze porojo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…