Nashauri TFF watengeneze kombe kwa ajili ya yanga kuwafunga Simba watengeneze kombe kwa ajiri ya Yanga kuwafunga Simba

Nashauri TFF watengeneze kombe kwa ajili ya yanga kuwafunga Simba watengeneze kombe kwa ajiri ya Yanga kuwafunga Simba

ni kitu cha kawaida sana simba kuwa mnyonge mbele ya yanga hata kama atabeba kombe miaka 10 mfululizo... ni sawa na man u kwa liver! liverpool amekaa miaka 30 bila kombe na hajawahi kuwa mnyonge wa man u

so ni lazima mjifariji ili roho zenu zisuuzike ila ukweli utabaki palepale, yanga hajawahi na hawezi kamwe kuja kuwa mnyonge wa paka fc
 
Kutokana na ukweli kua hakuna Simba bila Yanga na uwepo wa clabu moja ndio chachu ya maendeleo kwa clabu nyingine hasa zenye upinzani kama Simba na Yanga basi ni lazima hivi vilabu vitengenezewe namna ya vyote kua na furaha muda wote ili tuendeeleee kuwa navyo kama vilabu pacha...
Tatizo la kuujua mpira juzi.

Back to back kati yao, Yanga ni kinara.

Idadi ya makombe, ubingwa wa nchi Yanga ni kinara. Tupunguze porojo!
 
Back
Top Bottom