Nashauri timu ya Taifa isitoe wachezaji wanaocheza ligi.

Moja kati ya timu za mpira nnazozikubai ni timu ya soka ya ujerumani!!

Hawa watu wana malengo na fucus kubwa sana kwenye mpira!! yaani wana timu karibu tatu na zote zina uwezo wa kushindana na timu yoyote duniani!! angalia mashindano yaliyoisha juzi kati na ujerumani kuchukua kombe...kwenye kikosi hakuwepo muller wala ozili wala toni krooz lakini kombe walibeba!!

Mpira wa miguu bila malengo hatuwezi fika mahali, je tz tuna academy za mpira?? leo hii ukitaja timu ya taifa unajua kabisa akina ulimwengu ...samata lazima wawepo lakin kwa ujerumani mambo ni tofauti!!

Hatuwezi endelea kama hatuna msingi wa soka, soka lianzie chini kwa watoto hasa huko sekondari!! tuache siasa kwenye mpira!!
 
Hiyo haijawahi kuwa namna ya uendeshaji wa mpira, japo inaweza kuwa ubunifu katika mpira

Oddly enough, people on the Internet are more real than people in real life. The ability to act anonymously makes us much more genuine.
uzuri siyo lazima tuendeshe mpira kwa njia iliyozoeleka tunatakiwa kuendesha kwa njia itayoendana na kutatua matatizo yetu. Na saa hizi inaonekana tatizo letu kubwa ni chemistry kati ya wachezaji. Afteralll hatuna cha kupoteza tukijaribu mbinu mpya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…