Tochuku
JF-Expert Member
- Aug 16, 2024
- 5,322
- 8,412
Hakika ndio mana Legend wa timu ya taifa ya England Jamie Caragher aliwahi kusema japo alitukanwa matusi yote Duniani kua mashindano ya CAF ni mashindano madogo.
Hilo limedhihirika siku ya leo baada ya maamuzi ya kushangaza na mabovu kua eti Senegal sio mabingwa wa CAF, wanyang'anywe kombe lao na warudishe medali, na hatimaye Yale yaliyokua yanasemwa yamedhihirika wazi kua CAF kwa Sasa ni chombo kinachoendeshwa na wamoroko na zaidi rais wao wa CAF ni puppet tu, na mla rushwa mkubwa.
Wazungu weupe(wamoroko) wametumia kila njia ikiwemo rushwa na mashinikizo ili kupora walichokua wanashikilia Senegal kwa Haki.
Sasa nashauri sisi kama waafrika wapenda Haki tunawashauri Senegal wajitoe mashindano yote yanayosimamiwa na Hawa puppets wanaojiita CAF. Sioni umuhimu Wala maana yoyote kuendelea kushiriki mashindano hayo ambayo wasimamiz wake wanapanga matokeo na kuandaa mazingira nani ashinde nani asishinde kwa kusaidizana na wazungu weupe (wamoroko). 🚮