Nashauri timu ya taifa ya Senegal wajitoe mashindano yote yanayosimamiwa na Wala rushwa CAF

Nashauri timu ya taifa ya Senegal wajitoe mashindano yote yanayosimamiwa na Wala rushwa CAF

Kumbe ni walitishia kutoandaa WAFCON ndio mana timu zilirudi nyumbani na tukaambiwa sababu ambazo hazijulikani ...kumbe sababu ni hii ..kwamba mammbwa CAF wanawategemea wazungu weupe kuandaa mashindano yoyote
mbona sauz walisema wapo tayar kuendesha mashindano hata leo.
 
Naunga mkono hoja
20250718_181649.jpg
 
Back
Top Bottom