Kumbe ni walitishia kutoandaa WAFCON ndio mana timu zilirudi nyumbani na tukaambiwa sababu ambazo hazijulikani ...kumbe sababu ni hii ..kwamba mammbwa CAF wanawategemea wazungu weupe kuandaa mashindano yoyoteUkweli ni kwamba kocha wa Senegal alifanya kosa la kipuuzi sana kutoa timu uwanjani na wajanja wakapita nao. Nilitegemea hili
Kama walikua na bingwa wao kulikua na umhimu gani wa kuandaa mashindano na kusumbua watuNiliwahi kuwaambia wana kuwa " kosa alilofanya Senegal la kutoa timu uwanjani lisipopatiwa ufumbuzi huko mbele litaleta shida mkubwa" nashukuru dawa imepatikana na naipongeza kamati ya CAF kwa hatua hizi.
Senegali alikosea sana na hili ni fundisho kwa wavaa kobazi wote maana ndiyo wanaamini kwenye nguvu nyingi akili kidogoKama walikua na bingwa wao kulikua na umhimu gani wa kuandaa mashindano na kusumbua watu
Wajitoe tu wakacheze mashindano ya Euro.Hakika ndio mana Legend wa timu ya taifa ya England Jamie Caragher aliwahi kusema japo alitukanwa matusi yote Duniani kua mashindano ya CAF ni mashindano madogo.
Hilo limedhihirika siku ya leo baada ya maamuzi ya kushangaza na mabovu kua eti Senegal sio mabingwa wa CAF, wanyang'anywe kombe lao na warudishe medali, na hatimaye Yale yaliyokua yanasemwa yamedhihirika wazi kua CAF kwa Sasa ni chombo kinachoendeshwa na wamoroko na zaidi rais wao wa CAF ni puppet tu, na mla rushwa mkubwa.
Wazungu weupe(wamoroko) wametumia kila njia ikiwemo rushwa na mashinikizo ili kupora walichokua wanashikilia Senegal kwa Haki.
Sasa nashauri sisi kama waafrika wapenda Haki tunawashauri Senegal wajitoe mashindano yote yanayosimamiwa na Hawa puppets wanaojiita CAF. Sioni umuhimu Wala maana yoyote kuendelea kushiriki mashindano hayo ambayo wasimamiz wake wanapanga matokeo na kuandaa mazingira nani ashinde nani asishinde kwa kusaidizana na wazungu weupe (wamoroko). 🚮
Senegal: Serikali yawatunuku vyeo vya juu Kocha na wachezaji wa timu ya TaifaSenegali alikosea sana na hili ni fundisho kwa wavaa kobazi wote maana ndiyo wanaamini kwenye nguvu nyingi akili kidogo
Kwanini refa hakumaliza mpira pale pale? Kuwaruhusu kurudi na kupokea penati maana yake yeye ndiye mwenye final say ya kinachotokea uwanjani na kunaweza kutafsiriwa kama alitoa de facto ruhusa kwa wachezaji kutoka, kwa busara yake.Samahani, wewe ni ME au KE?? Kama ni KE sishangai coz maamuzi yao mengi hutumia hisia na siyo akili. Nakuuliza hivi :
Yule kocha kile kitendo alichokifanya ukitumia akili yako vizuri ni sawa?? Uhuni plus usela mavi vinaruhusiwa??
Nyuma ya pazia unahisi ni Mane ndiye aliyeirudisha timu??
Kama huridhiki na maamuzi, suluhisho ni kutoa timu uwanjani??
Ujinga tu;Ukweli ni kwamba kocha wa Senegal alifanya kosa la kipuuzi sana kutoa timu uwanjani na wajanja wakapita nao. Nilitegemea hili
Sasa si refa angemaliza mechi !!? ....Niliwahi kuwaambia wana kuwa " kosa alilofanya Senegal la kutoa timu uwanjani lisipopatiwa ufumbuzi huko mbele litaleta shida mkubwa" nashukuru dawa imepatikana na naipongeza kamati ya CAF kwa hatua hizi.
Siku zote wanawafanyia hivyo Huwa mnachezewa Akili ila wakati huu mambo yamekuwa hadharani zaidiKama walikua na bingwa wao kulikua na umhimu gani wa kuandaa mashindano na kusumbua watu
Mfanya biashara yule so what do you expect !? 😄🤣Afrika ni ya kipuuzi sana Bingwa anapatikana mezani Motsepe aachie Urais ndio maana anapingwa sana kuongoza SAFA kumbe wanamjua vizuri jamaa anaweka mbele maslahi ya fedha..
Umesikia drogba alichokiongea Leo !?Samahani, wewe ni ME au KE?? Kama ni KE sishangai coz maamuzi yao mengi hutumia hisia na siyo akili. Nakuuliza hivi :
Yule kocha kile kitendo alichokifanya ukitumia akili yako vizuri ni sawa?? Uhuni plus usela mavi vinaruhusiwa??
Nyuma ya pazia unahisi ni Mane ndiye aliyeirudisha timu??
Kama huridhiki na maamuzi, suluhisho ni kutoa timu uwanjani??