Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 7,926
- 17,030
Shida ya Lissu hoja zake zitajaa ugomvi bora ungeniambia Dr Silaa au Mbowe au Zitto. Siyo Lissu debe tupu. na wasimpe kugombea uraisHoja kwenye mdahalo ziwe
1. Muungano
2. Katiba Mpya
3. Nani kati ya Zanzibar au Tanganyika ananyonywa na mwenzake.
CHADEMA wampeleke Lissu Tundu na CCM wampeleke Kinana awe pia na wasaidizi kadhaa ili kuweka sawa uwiano.
Kule CCM hakuna anayeweza kuendesha mdahalo wa kisiasa na usio wa kisiasa ambao Lissu ndiye mshiriki wa mdahalo huoHoja kwenye mdahalo ziwe
1. Muungano
2. Katiba Mpya
3. Nani kati ya Zanzibar au Tanganyika ananyonywa na mwenzake.
CHADEMA wampeleke Lissu Tundu na CCM wampeleke Kinana awe pia na wasaidizi kadhaa ili kuweka sawa uwiano.
Inaonesha uelewa wako ni mdogo sana, huelewi chochote.Shida ya Lissu hoja zake zitajaa ugomvi bora ungeniambia Dr Silaa au Mbowe au Zitto. Siyo Lissu debe tupu. na wasimpe kugombea urais
Lissu ni moto wa kukaa nao mbali, hakuna atakaye muweza katika hizo nyanja za muungano, katiba au sheria sheria, labda hoza za kiuchumi per se.Hoja kwenye mdahalo ziwe
1. Muungano
2. Katiba Mpya
3. Nani kati ya Zanzibar au Tanganyika ananyonywa na mwenzake.
CHADEMA wampeleke Lissu Tundu na CCM wampeleke Kinana awe pia na wasaidizi kadhaa ili kuweka sawa uwiano.
Kwa taarifa yako Lisu ana ushawishi wa hali ya juu kuliko hao wote. Ule mchakamchaka alimpeleka dhalimu magu uchaguzi wa 2020 Hadi ikabidi apore uchaguzi.Shida ya Lissu hoja zake zitajaa ugomvi bora ungeniambia Dr Silaa au Mbowe au Zitto. Siyo Lissu debe tupu. na wasimpe kugombea urais
Huyo Lissu wenu ni mweupe sana,tutampa Kafulila anamtoshaKwa taarifa yako Lisu ana ushawishi wa hali ya juu kuliko hao wote. Ule mchakamchaka alimpeleka dhalimu magu uchaguzi wa 2020 Hadi ikabidi apore uchaguzi.
Kwahiyo huko ccm asili hamna mwenye ubavu, hadi mtegemee ccm academia waliofuata mlo toka upinzani?Huyo Lissu wenu ni mweupe sana,tutampa Kafulila anamtosha
Wewe umesema mwanaccm,nimekutajia,tena unakuja na hoja ingine,haya hata mimi naweza kujibu hoja zake kwani yeye ni nani?Kwahiyo huko ccm asili hamna mwenye ubavu, hadi mtegemee ccm academia waliofuata mlo toka upinzani?
Unaweza kujibu hoja za nani wakati hata jina humu unatumia fake I'd?Wewe umesema mwanaccm,nimekutajia,tena unakuja na hoja ingine,haya hata mimi naweza kujibu hoja zake kwani yeye ni nani?
kafulia atakuja na takwimu za BOT na uchumi ila kwenye katiba, sheria na mambo ya muungano ni mweupe pee atakuwa anapepesa tu macho na kulamba mdomoHuyo Lissu wenu ni mweupe sana,tutampa Kafulila anamtosha
Unajuaje kama hadharani namjibu,Unaweza kujibu hoja za nani wakati hata jina humu unatumia fake I'd?
Jitekeze sio kumuachia huyo mzee.Unajuaje kama hadharani namjibu,