Nashauri Uitishwe Mdahalo kati ya Lissu na Kinana. Mimi nitajiandikisha kuwa mwanachama kwa ambaye atashinda

Nashauri Uitishwe Mdahalo kati ya Lissu na Kinana. Mimi nitajiandikisha kuwa mwanachama kwa ambaye atashinda

Hoja kwenye mdahalo ziwe
1. Muungano
2. Katiba Mpya
3. Nani kati ya Zanzibar au Tanganyika ananyonywa na mwenzake.

CHADEMA wampeleke Lissu Tundu na CCM wampeleke Kinana awe pia na wasaidizi kadhaa ili kuweka sawa uwiano.
Kinana ataongea kitu gani?
 
Hakuna mtu ccm anaweza kujidhalilisha na kukubali mdahali na Lissu,wanajua wataonekana watupu kichwani na ujinga wao utakuwa hadharani
 
Kinana hamuwezi Lissu. Lissu atamgaaragaza na atapata aibu kubwa.
 
Labda mdahalo wa kutorosha twiga, kufanya magendo na kuiba hela za chama
 
Shida ya Lissu hoja zake zitajaa ugomvi bora ungeniambia Dr Silaa au Mbowe au Zitto. Siyo Lissu debe tupu. na wasimpe kugombea urais
Mbowe na zitto wapi na wapi ,kwenye Hoja zinazohitaji ujuzi wa sheria
 
Kinana ni mpana wa uelewa, Lissu ukimtoa nje ya vifungu vya katiba na sheria za nchi,ni mweupe kama anga la kiangazi
 
Shida ya Lissu hoja zake zitajaa ugomvi bora ungeniambia Dr Silaa au Mbowe au Zitto. Siyo Lissu debe tupu. na wasimpe kugombea urais
Lissu ana ogopwa na CCM yote rejea Mzee Kikwete aliwahi kusema ni heri Dkt Slaa single ikulu kuliko Lissu kuwa mbunge
 
inawezekana wewe ndio debe tupu ila hujijui.... ikiwa lisu debe tupu wengine itakuwaje
 
Back
Top Bottom