Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Kinana ataongea kitu gani?Hoja kwenye mdahalo ziwe
1. Muungano
2. Katiba Mpya
3. Nani kati ya Zanzibar au Tanganyika ananyonywa na mwenzake.
CHADEMA wampeleke Lissu Tundu na CCM wampeleke Kinana awe pia na wasaidizi kadhaa ili kuweka sawa uwiano.
Mimi nikirudi lazima niite press kumjibu huyo kichaaJitekeze sio kumuachia huyo mzee.
Huna ujanja huo.Mimi nikirudi lazima niite press kumjibu huyo kichaa
Mshapoteana kuhusu mapesa machafu yanayotumika kwenye chaguzi zenu za ndani,au nawe ni mnufaika?Huna ujanja huo.
Mbowe na zitto wapi na wapi ,kwenye Hoja zinazohitaji ujuzi wa sheriaShida ya Lissu hoja zake zitajaa ugomvi bora ungeniambia Dr Silaa au Mbowe au Zitto. Siyo Lissu debe tupu. na wasimpe kugombea urais
Dingi avae pampas mbili siku hiyo ya mdahalo na LisuKinana yupo smart isipokuwa kwa umri wake sasa Lissu atampoteza kwa hoja mapema asubuhi sana.
Sijaona kwa CCM ambaye anaweza mdahalo wa hoja hizo na Lissu.
Lissu ana ogopwa na CCM yote rejea Mzee Kikwete aliwahi kusema ni heri Dkt Slaa single ikulu kuliko Lissu kuwa mbungeShida ya Lissu hoja zake zitajaa ugomvi bora ungeniambia Dr Silaa au Mbowe au Zitto. Siyo Lissu debe tupu. na wasimpe kugombea urais