Nashauri Ukomo wa Maombolezo kwa Kiongozi wa Kitaifa uwe pale tu anapozikwa rasmi ili mambo mengi ya Muhimu yaendelee

Halafu mlikuwa mnataka magufuli atangaze lockdown nchi nzima siku 21 tu unaona nyingi
Watanzania wanafiki sana.
 
Mbona uandishi wako unamuiga GENTAMYCINE?
Kuwa innovative acha kukopi style za watu
Mkuu nawe ukifanya jambo jema tutakuiga hiyo ndiyo kanuni ya maumbile yetu kyiga lile unaloliona ni jema kwako
 
Naunga mkono hoja,kipindi hiki cha maombolezo walevi ambao kinywaji hakipandi bila muziki mnene tumeathirika sana yaani tunakunywa kama tupo ukweni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…