Nashauri usije ukajiroga ukapenda Mnyarwanda. Nilimpata Ughaibuni ni matatizo matupu

venchwa

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2016
Posts
2,222
Reaction score
3,160
Nilipata likizo fupi nikasema hebu niende Vientiane na wenzangu kula maisha Kidogo,

Kwa wasioijua Vientiane ni mji mkuu wa kinchi kimoja kiko Asia kinaitwa Loas, kuna totoz balaa nilienda Mpaka sehemu inaitwa Viang vieng, kinchi kile ni kizuri sana na ni very cheap ! Kutoka hapa Singapore hadi Vientiane ni kama 700$ alafu flight ni 3 hours if you pass Via Bangkok au kama wapita China kuna Sehemu inaitwa Kumning ni masaa 4,

Haka ka nchi nilikapenda sana nilitenga mwezi Mzima kukaa pale, nikatembezwa tembezwa na wazawa kuna Sehemu asubuhi tunaenda kula kitimoto panaitwa morning market humo humo jijini, jiji Lao ni zuri ila halina majengo marefu sana ila limepangiliwa zaidi ya miji yote ya Tanzania,

Safari hii nilipata Kwenda Mpaka Vietnam kutumia basi maana kutoka pale vientieane Laos hadi Hanoi Vietnam (Napo huko Nina kisa kingine nilikutana na manes wawili wamarekani nikawalewesha weee nginganginja Mpaka home haha Nina story aisee ududu ni utulize Kwakweli 😀, hii takuwa story ya siku nyingine)

Tuendelee sasa baada ya kukaa Vientiane hapo bado Laosi msichanganye na Vietnamu nilichomekea,!ntaeleza kwanini niliamua Kwenda na vietnamu! Ila msichanganye hata majina VIENTIANE NA VIETNAMU ni vitu viwili tofauti

Sasa hapo Laos sikujua kama kuna hata boder ya kutoka Thailand Kwenda Hapo inaitwa Mukhadan, nikawa naenda club nakutana na waganda na wakenya, Watanzania nilikutana na wawili ila wote wanakuwa wanatoka Thailand Kwenda ama kupitia Udoni Thani Kwenda Laos for visa extension,

Nikaona waganda kuna mmoja ni somebody Kassaga! Akawa ananipa company kunitembeza maeneo kadhaa ! Sasa waganda wakawa wanakuja mi si Nanunua bia hataree sana kule currency yao inaitwa LAO KIP KWA KIFUPI LAKI na note yao wana mpaka 100,000! Ukiwa na milion 2 za tanzania kule ni 20,000,000 KiP yaan ni 20M kip hizo unakula unakunywa kama sikosei sijachanganya exchange rate!

Sasa bwana wakaja mademu wa Uganda wazuri warembo mi sina kuremba kabisa namwaga mpunga hata kwa wa south afrika mauno noma mzee noma sana! Nikawa dau natembeza 500$ kwa usiku nikikupenda demu ila pale wazungu walikuwa wanawanunua kwa 200$ Mpaka 1000$ ila Mimi nikawa kati kati hapo

Aisee hakuna kitu kitamu kama kuwa na machawa acha akina diamond watambe *****

Mimi nilikuwa na machawa Mpaka wakafanya ni overstay week maame 😆

Machawa wakawa wanaleta mademu kwamba boss do you like this wengine napotezea,

Wakaja wanyarwanda mmoja huyo kwa jina BHKT nimefupisha kiuno kule, Jaman Hatari na mweusi wa kuvutia nikawaambia nataka huyo hawakuchelewa 😆

Sasa nikampeleka hotelin Kwangu kumbe bwana alikuwa yeye ka overstay LAOS KWA ALMOST ONE YEAR YUKO KWA CHINA SCAMMERS WANA MA GANG YAO YA SCANMING WANAAJIRIGI WATU WA KUWACHATIA MTANDAONI WANAKULIPA MSHAHARA KILA MWEZI DOLLAR 1400 wanakupa pa kulala na chakula ila wanakaa na passport yako wanasema tutakuwa tunaenda kuku extendia Viza ! Kumbe hawa extend wala nini! Ila usipotimiza target ya scamming wanakata MSHAHARA Kidogo ! Wanakupa supportive tools simu, laptop, bweni wanakupa na chakula free ! Disco kila weekend, Nguruwe mnakula kama kawa ila wanapima UKIMWI KABLA HUJAINGIA CAMP ZAO, hayo yote niliyajua baada ya Kwenda na Hiyo dada hotelin Kwangu

Nilipotaka kumlipa aondoke aksema Hapana Naomba usinilipe nikashangaa

Naendelea 👇🏾

KWANINI ALIKATAA SASA NIKAMCHIMBA CHINBA

Alipokuwa anakaa kipindi kafukuzwa kwa wachina maana alimaliza miezi 4 bila ku meet target wakaona huyu anatupotezea muda Ila hakufunguka siku Hiyo Hiyo niliyajua baadae, Hivo hotel alipokuwa karejea kutoka kwa wachina panitwa BOKEO wamejenga mji wao hao ma scammers ni wachina Tupu wanaajiri waafrika kuwachatia kuscan dunian kwamba wanauza machines kadhaa au wengine wanachat kama mademu unatuma mpunga kumbe siyo! Sasa huyu demu akaniambia ungependa ku spend na Mimi more days ?? Nikasema Sawa maana ni Mrembo akasema basi twende tukapime nikaenda naye tukapima Lakin nikauliza kwanini hukutaka pesa? Akasema sikutaka kPesa now ila naitaka baadae Ntakwambia ,

Tukamaliza kupima tukawa tunaishi sasa hotelin si wale machawa sasa wakaanza kuchukia Kwakuwa attention nawapa ila demu huyu Ana mind eti kwanini naharibu pesa hata ile spending ikapungua haha badala ya bia kuna bar inaitwa WINDY BAR nilikuwa naingia nafunga bar naweka 200$ watu wanakunywa hatari Kule Heineken ni 60,000Kip yaan kama dolla 2 hivi , sasa hapo ukinunua bia 100 si mnajimwaga, wale wakaanza kunambia tukupe demu Mwingine huyo achana naye 😀😀😀 huku mi nshakorea ,

Sasa ngoja ifike siku aniambie matatizo yake

Anasema hata pale alipokuwa hotelin anadaiwa 300$ niende naye tulipe, tukalipa,

Tukakaa wewe akasema ana shida ndo maana hakutaka kunambia mapema nikasema enhee, akasema yeye alidanganywa kutoka Uganda kwamba anaenda Thailand Bangkok kufundisha ila kufika kumbe wamemleta ajiuze, nikaogopa kwanza nikauliza enhe ukajiuza uza Kidogo heee , akasema si kidogo alifanya Kama mwezi ila akatoka kuja Laos Kwakuwa alipata taarifa wachina wanaajiri na kazi ile alikuwa haitaki ya kujiuza, walipomleta akawa analala akashindwa kurejesha hata pesa yao waliyo mu inject alafu sasa aliyemleta ni shangazi yake akijua kwamba anamdanganya!

Enheee mi hapo endelea mama, akasema baada ya kufika BOKEO kwa wachina huko nikawa nshindwa ku meet target zao za mauzo wakaona nakula mshahara bule, nikasema mama yangu duu, nikaulzia tena enhee, akasema na hapa nilipo Nina overstay ya Mwaka ! Kwahiyo Tunafanyaje akasema anaomba nimlipie overstay ya siku 340 almost 340X100,000 maana wanatoza 100,000 per day of overstay ndo ikawa 34,000,000 Kip si hela nyingi uki convert nakumbuka nililipa kama 1800$ kitu kama hicho, kabla ya kulipa nikauliza inalipwa wapi? Akasema inalipwa Uki exit nchi enhe twende wapi option ilikuwa Vietnam ndo karibu, na Thailand walikuwa wamemwekea VOID kwenye Passport asingeenda, okay tukaenda Vietnam 3 weeks Hanoi, tukafika hotel moja inaitwa LUCY HOTEL wakatupa sehemu nzuri price ilikuwa 700,000 Vietnam Dong per day yaan kama 80,000 fulan hivi ya bongo! Hela yao VIETNAM DONG, nayo thaman si kubwa sana, mwanaume nilianza kupofuka na mapenzi, akisema naomba hiki nampa si Sitaki wengine wamsumbue maana kisu balaa,

Mara pap kanitambulisha kwa ndugu zake Uganda (wanyarwanda wanoishi uganda ) Mara pap mama yake anaanza kusalimia Mara ushauri, hapo mi sina maiadi ya kumuoa au kufanya naye maisha ni kutumbua tu kwa muda !

Sasa muda wa Vietnam umeisha tunarejea Laos kupitia Border Krao prao kitu kama hicho! Nafika Laos naona analia kwenye hotel chooni nikamuuliza Tatizo nini akasema nataman ningeondoka nawewe kama inawezekana naogopa sina kazi Siwezi kujiuza nimekimbia hayo, Siwezi rejea Uganda sitaki nikamwambia hata nikikupeleka Singapore hutaweza kule kazi ni limited sana na mbaya zaidi maisha yako juu, akasema nimepeke tu anaomba akapiga na magoti kabisa kuniomba akalia (Sisi wanaume wadhaifu sana) nikasema haya nikampigia mwanangu fulan tupo wote kazi anaitwa DP nimefupisha, nikasema tunaweza pata sehemu ya mtu kufanya kazi kama secretary, akasema kwenye shirika fulan la ndege watafungua branch ngoja aongee na Jamaa ila inabidi huyu anayetaka kazi awe Singapore tayari, nikasema nakuja naye! Nikaona Mnyaru wangu anatabasamu maana anaelewa kingereza,

Nikabidi niende uhamiaji wao Vientiane Laos ni extend more 15 days kwa maandalizi ya kumbeba na huyu !

Tukakwea pipa tukaenda, tukafika Singapore

Hapa sasa MAPICHA PICHA YANAANZA 👇🏾😀

Tumefika Sasa SINGAPORE zile stress zikaisha anakula Milo mitatu heavy kama aliyosisitiza HASHIMU RUNGWE, alafu demu expensive sana mafuta anataka Cerav location inauzwa 100$, nywele braids huku waafrika wanatengenezwa kwa 150$ yeye anataka kila week 2 afumue upya! Yeye hapo si hajapewa kazi maalumu ananitegemea Mimi, ila Kwakuwa mi mwanamke sijali anatumiaje nachojali ananiheshimuje! Hapo basi Ukitaka kula hela yangu nisikilize, niheshimu nipe muda be proud of me everyday, kwa miezi 4 ya mwanzo tukawa tunakwamba yeye kupata baadhi ya Vibali inabidi a exit aende Malaysia alafu arejee upya (Visa run) sasa akakiri kwamba unajua V… yaan wewe ni mwanaume ambaye Umeweza kurejesha hisia zangu nikajua wanaume bado wapo duniani hapa aisee!

Akanipa simu yake akasema andika chochote au m text yeyote unayetaka nikasema nooo we jitunze tu! Tukakaa,

Siku moja Nipo nakula kwa wa Nigeria maana wana migahawa yao tunapaita kwa FUFU naona ananipiga Baby baby nikasema enhee akasema kuna Jamaa fulan nilimuachaga Bangkok anataka aje kutembea huku ila hana wa kumtembeza ila nimeona niku link naye we ndo utamwonesha maeneo kadha wa kadhaa ! Kabla hata sijajibu naona namba ya Uganda inanipiga akasema NINAITWA SSSSSS nimepewa namba na manzi yako Kasema we mtu mzuri unajua maeneo Naomba unipokee niko njian, nikajiuliza mbona hata huku sijatoa jibu huyu ashatoa go ahead ?

MSISITIZO UKO HAPA

Yule Jamaa nikamfuata airport kawaida nikafika naye home nikaanza kumtafti hotel akapata hotel cheap akalipa akawa ananipigia akitoka namtembeza, sasa huyu mnyaru akapata visa kuisha ikabidi aende Malaysia arejee ili iwe Nyingine Kwenda Malaysia naona anarejea ananipigia baby Nina rafiki yangu wa karibu sana demu Naomba aje atutembelee nikasema anakaa siku ngapi akasema 7 tu! Nikasema Sawa ! Kumbe ameenda wamejazana kichwa kwamba bwana wangu ananipa mapesa kila week twende utakaa na kula usiwe na shida ,

Wakaja kufika kwangu Yule dada story anazonipa anasema yeye alikuwa anafundisha thailand visa ineisha anataka aache kufundisha Lakin pia wanajuana na demu wangu tokea mi sijawajua, nikauliza enhee what is the plan akasema nasaka kazi singapore nikamwangaliaa nikasema anyway

Siku moja akaniambia anaomba 200 dollar wanaenda out ya mademu nikampa wakafika kule mi niko busy na ma report ya kazi naona namba Mpya ya Thailand 🇹🇭 akanitext how are you In law, kumbe namba ni ya huyu dada aloletwa kama rafiki, akasema incase your baby phone goes off tupate hapa!

Nikasema powaa

Baadae nikawafuata, wakarejea home ila hapo lengo yule mdada si kapata namba yangu ?

Baadae akanitext akasema iwe Siri nikasema enhee, akasema huyo baby ni toxic wala hana heshima na pia ni mzembe, nataman sana kuwa na mtu wa aina yako ila si rahis kupata maana wengi hawatimizi majukumu na pia si wapole kama Mimi! Nikasema Unasema ? Akasema sorry ! Huku upande Mwingine anamshauri semu wangu kwamba 1000$ nayompa kwa mwezi akiwa huru anaweza akaitengeneza kwa week tu , Hajui kuwa and wanawake ni wapuuzi ukiwashauri kitu anayerejesha yote muda wa MKUYENGE, 😀

Baadae akamjaza bwana kwamba hapa toka!
Demu kaanza dharau usiku anaweza akatoka Asikwambie anaenda wapi ,

Siku moja akasema unajua yule mkaka ulompokea, hotel wamesema atoke siku zineisha, Naomba naye tumlete Hapa si tuna vyumba viwili mi ntalala na huyu dada we ulale naye ! Nikasema noooooo! Baadae huyo dada ananiambia yule walikuwa wana date kipindi Kafika thailand mwanzo hivo alimdump baada ya kuona huyo demu wako mambo yamemuwia magumu!

Mwanaume nikaanza kufunga misaada kama Marekani na Haiti,

HATUA MUHIMU ZA HARAKA
Nikajipa maamuzi sasa kwamba
1. Sitoi Pesa tena na ukizingatia kuna muda alikuwa ameona ni kama wajibu kuna dada yake alikuwa Ana soma makelele akawa ananichatisha kila wakati kuna siku wakakosa Ada anataka ku graduate nikamtuma mtu uganda alipe chuoni kabisa alafu nikamtumia na 1M of uganda watu kama matumizi (750KTzsh) kwa exchange

Hapo ali mind kwamba simwamini kwanini Nitume mtu alipe hela chuoni kelele nyingi, na akadharau eti watu wanahonga hadi mabilion hawana masharti Mimi vimilion vyangu namchunga kama mbuzi, sisemagi ila uwa nakusanya ni kawaida yetu wanaume kelele usipige sana ila actions !

Siku nyingine mama yake akawa anaumwa kweli naijua Hiyo wanataka 5M (Mama yake mdogo) pingili za mgongo zilikuwa zimepishana anapelekwa nairobi wakahangaika wee wakauza Ng’ombe wakapata 3M sasa nikasema hii 2M Ngoja nawapa soon kuanzia kesho, Kesho nikampa 1M ali mind kinoma na akaongea kigamba hajui nilikiwa nshaanza kuelewa maana waganda wengi marafiki akasema “SAGALA SSENTE ZIGENDE MUBITUNDU BITUNDU, SAGALLA MUSSAJA KUMANYIILA” anampigia simu mdogo kwenye simu
Akimaanisha hataki Mwanaume anayemzoea Zoea na kumpa Pesa nusu nusu. Sentensi iliniuma sana ile, nikakausha

Siku nyingine Mnaenda out wanyarwanda Wote anaowajua atawaita wana wanakunywa anayelipa ni Mimi, siku moja nikamuhoji kwamba hizi Baloons mnazovuta (wale waliotembea mnajua ughaibuni wanajaza vitu fulan kwenye balloon wanavuta zinawapa feelings) wanavuta nalipa Mimi per day ningetumia almost 400$ wakati nakutana naye benk yangu ilikuwa na vipesa pesa kama 350K$ za bingo Ila ndani ya Mwaka tumekaa Wote nilibaki na dolla 120K tu ina maana zingine zote ni yeye !

Sasa mbaya zaidi akaenda out na kadi zangu wanatumia na wenzake wengi kama party alafu yule mdada akanitumia picha na text aksema we huyu humjui alikuwa humble mwanzoni uingie kwenye mfumo! Na sasa umeshajaa 4-4-2

NAENDELEA

2. Nikamzuia Kwenda Bar Kwamba sitak kumuona bar hata siku moja Lakin utasikia Naomba kutoka na rafiki yangu wa kike Mara moja nakuja, hapo nilipobana Pesa akaitwa na mwanaume yeye inasemekana ni Nigeria muuza madawa huko Thailand ila alikuja Singapore kutembea wako wamechili sehemu Naona picha inatumwa kwangu kwa Siri na yule mwenzake wa kike kwamba ona alipo! Nikakaa kimya, aliporejea nikamwambia nilikukataza bar! Amelewa sana alichofanya akasema we umenizaa ile jeuri ya kinyarwanda nikaiona,

Asubuhi naangalia nakuta kadi yangu siioni nikasema nipishe kwangu utajua utaishi vipi uendako, Uzuri hata kazi yenyewe alikuwa bado akalia akabembeleza akaita marafiki na ndugu wakanipigia wakasema ya solve yaishe Nikawaambia matatizo ya binti yao wa kamwambia kwa kiganda hajui kama naelewa wakamwambia hivi
“MUSSAJ TALI STINGY MUKWATE BURUNJI, TALINA BUZIBU MWANA WAFFE, KATI TOSOBOLA KUFUNA MUSSAJA WA KUKULABILILA NA ONO” maana yake huyo mwanaume mshike vema huwezi au si rahis kwa vitimbwi unavyofanya mwanaume kukuvumilia kama huyo,

Nikamuacha akakaa kama kabadilika fulan , Sasa siku moja kashika kadi yangu naona kwenye mesej Pesa inakatwa kumbe yuko sehemu anapiga vyombo na mashoga zake wa nyarwanda (Huwezi amini mmoja wana undugu na Makwabe yule wa ma hips instagram maana ni Muhaya nyarwanda Yule) nilipofika akasema huyo Mnyarwanda Mwingine sasa anasema unajua huko Tanzania Nina cousin yangu anaitwa somebody makwabe, nikaona analeta mambo ya kunilaunisha nikamvuta demu wangu twende nyumbani

Alinijibu (Umenioa) umeleta mahari kwetu? Au ni pesa unazonipaga piga hesabu vema anytime I can refund them ! Akiwa very confident 😆 hajui nami ni mtoto wa mjini simpagi Demu hela mkononi, nawapa code hii wanaume! Mtumie bank au kwenye simu kule uthibitisho ubaki, mi nilidhan kalewa nikaenda zangu kulala nikamuacha na wenzake ila kadi yangu ya Benk nikabeba

Anakuja saa 10 usiku anapiga makelele NIKAZAMZABA VIBAO NIKAMCHAPA HASA HASA YAAN KUPIGA KWELI KWELI KAPIGA YOWE KAVIMBA SANA WAKAITA POLIS , polis walipokuta kalewa waka mweka yeye detention nami nikahojiwa wakanipa onyo kwamba mwanamke hapigwi! Baadae wakanipa barua ya onyo na faini ya kusababisha vurugu kwenye makazi ya watu!

Nikamwambia paki kila kilocho chako ondoka , kumba wanyarwanda wajinga sana nilivyomchapa hataki kuondoka anataka aache kanipa sumu! Au anichome kwa kisu! Yule dada akaniita akanisikilizisha voice note kwa kinyarwanda na kiganda , kinyarwanda sikuki master sana ila Kiganda alisema
“ONO OMUTANZANIA NJAKUMUWA OBUTWA OBA MUFUMITE AKAMBE AYEBASSE”

Means Huyu Mtanzania nataka nimpe sumu au nimchome nakisu,

Wakamshauri kwamba usifanye hivo ila fanya hivi👇🏾

Kwakuwa wanaume wengi wanakutaka, hebu chagua ambaye unaona ataendana na tabia yako ya kunywa Pombe pamoja , anayependa outing ila huyu ulonaye muombe msamaha muachane kwa amani , na ikibidi mrudishie kila kilochochake ,

Si akajaa kichwa kaja Kwangu kwamba naona tuachane nipe mahesabu yoote!

Nikaanza Kupiga hesabu kwanz Pesa tu nje ya mama anaumwa sijui graduation sijui simu hizo ni 1,000$ Mara miezi 8 maana mitatu nilikiwa nimesitishaga kati kati =9000$ total hiyo
Njoo ya mama anaumwa na Nyingine nimetuma tuma kwao kwa evidence za simu ni almost 5000$

Lipa Ada sijui ya Nani na uchafu chafu ni 800$

Weka ile ya Overt stay Laos ni 1800$

Ukijimlisha inacheza kwenye 40M za bongo au 50M kabisa watz watbish ntaweka na miamala sifutagi kitu!

Sasa akaja na Jeuri si yule Mnigeria wa madawa kashamjaza 😆 kwamba jumatano Nakupa hela yako yoote 20,000$+ nikamwangaliaa nikasema okay na hapo HAJUI NISHAJUA ANAWEZA NIUA HUYU MIPANGO KWENYE VOICENOTE NIMESIKILIZISHWA!

Pia nimesahau ntawachekesha, wakati anataka kuondoka nikamwambia hizo simu mbili na cheni hizo za gold ni zangu ziache kwanza ili uende vema !

Na umesema hutaki kubaki na chochote kilochochangu kitafanya unikumbuke bure hivo hata hizo pesa za raba expensive zilikuwa kama 12 na kila raba wanaojua zinauzwa 300$ and above, akahamaki, cheni zangu japo baadhi ziliwekwa Mpaka jIna lake nikasema ziache, akaona hana cha kufanya akapiga simu kwa mnigeria akawa Ametoka nje huku akimpigia mnigeria , wakaongeaa baadae akarudi akapiga Magoti eti Naomba Nisamehe 😀😀

Nikasema nimekusamehe ila kwa mashart haya
1. Nakupa week moja ujue pa Kwenda kama huna nauli Ntakupa
2. Sitataka unirudishie hata mia
3. Nipe hizo simu niangalie (Kumbe alikuwa kashanirekodi niko naked nimelala anataka one day ani blackmail) nikafuta na nikamwambia Ondoa password zote na zile hiden kwenye iPhone nikaona nikafuta zote
4. Nikahakikisha hachukui namba yeyote ya relative wangu

muda nilompa ukaisha hataki kuondoka eti hapa hatoki mtu na haendi popote ! Kumbe lile li Nigeria lilimjaza uongo na ahadi hewa akaanza Ku misbehave 😆 sasa liliposikia demu wa Matunzo likakacha sasa akaji humble mwenyewe, ikabidi baada ya mwezi nimkatie ticket nasikia yuko huko Kampala ila kila siku simu Mara atumie ya dada yake Mara atumie ya rafiki, Mara mdogo wake anipigie eti ananisalimia, hatari sana

Wanyarwanda ngumu ku wa handle mengine sijaandika hapa wana mdomo mbaya na matusi
Ndo maana Yule mwimbaji wa bongo alishindwa ndoa aisee

Uzi wa Vietnam niliposema kuna story ya Uzi wake iko hapa

NIMEWEKA HAYO MAGANDA AMETAKA MAKEBO KUHAKIKISHA ANADHAN TUNAPIGA TANTALILA HAPA

4e6d15b9-e0b0-4016-82c6-94b148f3018e.jpeg
e1170e94-f076-4817-abde-802495c305cc.jpeg
ec5b1b52-b768-4797-b13c-688dcd0d9ae3.jpeg
IMG_6709.png

43e31d1b-efe3-4695-8303-868062827b70.jpeg

1cb09063-5f6f-468f-9054-b98c338cc56c.jpeg
 
Tunataka tuone ganda la passpoti ya kibongo lina visa ya Vietnam, sijui Laos au sijui chingdomg
Halafu tuone hizo picha za huko kote, sio za mtandaoni na hyo mnyarwanda
Halafu tutafatilia stori yako ukiipeleka insta kwa buku buku
 
Nilipata likizo fupi nikasema hebu niende Vientiane na wenzangu kula maisha Kidogo,

Kwa wasioijua Vientiane ni mji mkuu wa kinchi kimoja kiko Asia kinaitwa Loas, kuna totoz balaa nilienda Mpaka sehemu inaitwa Viang vieng, kinchi kile ni kizuri sana na ni very cheap ! Kutoka hapa Singapore hadi Vientiane ni kama 700$ alafu flight ni 3 hours if you pass Via Bangkok au kama wapita China kuna Sehemu inaitwa Kumning ni masaa 4,

Haka ka nchi nilikapenda sana nilitenga mwezi Mzima kukaa pale, nikatembezwa tembezwa na wazawa kuna Sehemu asubuhi tunaenda kula kitimoto panaitwa morning market humo humo jijini, jiji Lao ni zuri ila halina majengo marefu sana ila limepangiliwa zaidi ya miji yote ya Tanzania,

Safari hii nilipata Kwenda Mpaka Vietnam kutumia basi maana kutoka pale vientieane Laos hadi Hanoi Vietnam (Napo huko Nina kisa kingine nilikutana na manes wawili wamarekani nikawalewesha weee nginganginja Mpaka home haha Nina story aisee ududu ni utulize Kwakweli 😀, hii takuwa story ya siku nyingine)

Tuendelee sasa baada ya kukaa Vientiane hapo bado Laosi msichanganye na Vietnamu nilichomekea,!ntaeleza kwanini niliamua Kwenda na vietnamu! Ila msichanganye hata majina VIENTIANE NA VIETNAMU ni vitu viwili tofauti

Sasa hapo Laos sikujua kama kuna hata boder ya kutoka Thailand Kwenda Hapo inaitwa Mukhadan, nikawa naenda club nakutana na waganda na wakenya, Watanzania nilikutana na wawili ila wote wanakuwa wanatoka Thailand Kwenda ama kupitia Udoni Thani Kwenda Laos for visa extension,

Nikaona waganda kuna mmoja ni somebody Kassaga! Akawa ananipa company kunitembeza maeneo kadhaa ! Sasa waganda wakawa wanakuja mi si Nanunua bia hataree sana kule currency yao inaitwa LAO KIP KWA KIFUPI LAKI na note yao wana mpaka 100,000! Ukiwa na milion 2 za tanzania kule ni 20,000,000 KiP yaan ni 20M kip hizo unakula unakunywa kama sikosei sijachanganya exchange rate!

Sasa bwana wakaja mademu wa Uganda wazuri warembo mi sina kuremba kabisa namwaga mpunga hata kwa wa south afrika mauno noma mzee noma sana! Nikawa dau natembeza 500$ kwa usiku nikikupenda demu ila pale wazungu walikuwa wanawanunua kwa 200$ Mpaka 1000$ ila Mimi nikawa kati kati hapo

Aisee hakuna kitu kitamu kama kuwa na machawa acha akina diamond watambe *****

Mimi nilikuwa na machawa Mpaka wakafanya ni overstay week maame 😆

Machawa wakawa wanaleta mademu kwamba boss do you like this wengine napotezea,

Wakaja wanyarwanda mmoja huyo kwa jina BHKT nimefupisha kiuno kule, Jaman Hatari na mweusi wa kuvutia nikawaambia nataka huyo hawakuchelewa 😆

Sasa nikampeleka hotelin Kwangu kumbe bwana alikuwa yeye ka overstay LAOS KWA ALMOST ONE YEAR YUKO KWA CHINA SCAMMERS WANA MA GANG YAO YA SCANMING WANAAJIRIGI WATU WA KUWACHATIA MTANDAONI WANAKULIPA MSHAHARA KILA MWEZI DOLLAR 1400 wanakupa pa kulala na chakula ila wanakaa na passport yako wanasema tutakuwa tunaenda kuku extendia Viza ! Kumbe hawa extend wala nini! Ila usipotimiza target ya scamming wanakata MSHAHARA Kidogo ! Wanakupa supportive tools simu, laptop, bweni wanakupa na chakula free ! Disco kila weekend, Nguruwe mnakula kama kawa ila wanapima UKIMWI KABLA HUJAINGIA CAMP ZAO, hayo yote niliyajua baada ya Kwenda na Hiyo dada hotelin Kwangu

Nilipotaka kumlipa aondoke aksema Hapana Naomba usinilipe nikashangaa

Naendelea 👇🏾

KWANINI ALIKATAA SASA NIKAMCHIMBA CHINBA

Alipokuwa anakaa kipindi kafukuzwa kwa wachina maana alimaliza miezi 4 bila ku meet target wakaona huyu anatupotezea muda Ila hakufunguka siku Hiyo Hiyo niliyajua baadae, Hivo hotel alipokuwa karejea kutoka kwa wachina panitwa BOKEO wamejenga mji wao hao ma scammers ni wachina Tupu wanaajiri waafrika kuwachatia kuscan dunian kwamba wanauza machines kadhaa au wengine wanachat kama mademu unatuma mpunga kumbe siyo! Sasa huyu demu akaniambia ungependa ku spend na Mimi more days ?? Nikasema Sawa maana ni Mrembo akasema basi twende tukapime nikaenda naye tukapima Lakin nikauliza kwanini hukutaka pesa? Akasema sikutaka kPesa now ila naitaka baadae Ntakwambia ,

Tukamaliza kupima tukawa tunaishi sasa hotelin si wale machawa sasa wakaanza kuchukia Kwakuwa attention nawapa ila demu huyu Ana mind eti kwanini naharibu pesa hata ile spending ikapungua haha badala ya bia kuna bar inaitwa WINDY BAR nilikuwa naingia nafunga bar naweka 200$ watu wanakunywa hatari Kule Heineken ni 60,000Kip yaan kama dolla 2 hivi , sasa hapo ukinunua bia 100 si mnajimwaga, wale wakaanza kunambia tukupe demu Mwingine huyo achana naye 😀😀😀 huku mi nshakorea ,

Sasa ngoja ifike siku aniambie matatizo yake

Anasema hata pale alipokuwa hotelin anadaiwa 300$ niende naye tulipe, tukalipa,

Tukakaa wewe akasema ana shida ndo maana hakutaka kunambia mapema nikasema enhee, akasema yeye alidanganywa kutoka Uganda kwamba anaenda Thailand Bangkok kufundisha ila kufika kumbe wamemleta ajiuze, nikaogopa kwanza nikauliza enhe ukajiuza uza Kidogo heee , akasema si kidogo alifanya Kama mwezi ila akatoka kuja Laos Kwakuwa alipata taarifa wachina wanaajiri na kazi ile alikuwa haitaki ya kujiuza, walipomleta akawa analala akashindwa kurejesha hata pesa yao waliyo mu inject alafu sasa aliyemleta ni shangazi yake akijua kwamba anamdanganya!

Enheee mi hapo endelea mama, akasema baada ya kufika BOKEO kwa wachina huko nikawa nshindwa ku meet target zao za mauzo wakaona nakula mshahara bule, nikasema mama yangu duu, nikaulzia tena enhee, akasema na hapa nilipo Nina overstay ya Mwaka ! Kwahiyo Tunafanyaje akasema anaomba nimlipie overstay ya siku 340 almost 340X100,000 maana wanatoza 100,000 per day of overstay ndo ikawa 34,000,000 Kip si hela nyingi uki convert nakumbuka nililipa kama 1800$ kitu kama hicho, kabla ya kulipa nikauliza inalipwa wapi? Akasema inalipwa Uki exit nchi enhe twende wapi option ilikuwa Vietnam ndo karibu, na Thailand walikuwa wamemwekea VOID kwenye Passport asingeenda, okay tukaenda Vietnam 3 weeks Hanoi, tukafika hotel moja inaitwa LUCY HOTEL wakatupa sehemu nzuri price ilikuwa 700,000 Vietnam Dong per day yaan kama 80,000 fulan hivi ya bongo! Hela yao VIETNAM DONG, nayo thaman si kubwa sana, mwanaume nilianza kupofuka na mapenzi, akisema naomba hiki nampa si Sitaki wengine wamsumbue maana kisu balaa,

Mara pap kanitambulisha kwa ndugu zake Uganda (wanyarwanda wanoishi uganda ) Mara pap mama yake anaanza kusalimia Mara ushauri, hapo mi sina maiadi ya kumuoa au kufanya naye maisha ni kutumbua tu kwa muda !

Sasa muda wa Vietnam umeisha tunarejea Laos kupitia Border Krao prao kitu kama hicho! Nafika Laos naona analia kwenye hotel chooni nikamuuliza Tatizo nini akasema nataman ningeondoka nawewe kama inawezekana naogopa sina kazi Siwezi kujiuza nimekimbia hayo, Siwezi rejea Uganda sitaki nikamwambia hata nikikupeleka Singapore hutaweza kule kazi ni limited sana na mbaya zaidi maisha yako juu, akasema nimepeke tu anaomba akapiga na magoti kabisa kuniomba akalia (Sisi wanaume wadhaifu sana) nikasema haya nikampigia mwanangu fulan tupo wote kazi anaitwa DP nimefupisha, nikasema tunaweza pata sehemu ya mtu kufanya kazi kama secretary, akasema kwenye shirika fulan la ndege watafungua branch ngoja aongee na Jamaa ila inabidi huyu anayetaka kazi awe Singapore tayari, nikasema nakuja naye! Nikaona Mnyaru wangu anatabasamu maana anaelewa kingereza,

Nikabidi niende uhamiaji wao Vientiane Laos ni extend more 15 days kwa maandalizi ya kumbeba na huyu !

Tukakwea pipa tukaenda, tukafika Singapore

Hapa sasa MAPICHA PICHA YANAANZA 👇🏾😀

Tumefika Sasa SINGAPORE zile stress zikaisha anakula Milo mitatu heavy kama aliyosisitiza HASHIMU RUNGWE, alafu demu expensive sana mafuta anataka Cerav location inauzwa 100$, nywele braids huku waafrika wanatengenezwa kwa 150$ yeye anataka kila week 2 afumue upya! Yeye hapo si hajapewa kazi maalumu ananitegemea Mimi, ila Kwakuwa mi mwanamke sijali anatumiaje nachojali ananiheshimuje! Hapo basi Ukitaka kula hela yangu nisikilize, niheshimu nipe muda be proud of me everyday, kwa miezi 4 ya mwanzo tukawa tunakwamba yeye kupata baadhi ya Vibali inabidi a exit aende Malaysia alafu arejee upya (Visa run) sasa akakiri kwamba unajua V… yaan wewe ni mwanaume ambaye Umeweza kurejesha hisia zangu nikajua wanaume bado wapo duniani hapa aisee!

Akanipa simu yake akasema andika chochote au m text yeyote unayetaka nikasema nooo we jitunze tu! Tukakaa,

Siku moja Nipo nakula kwa wa Nigeria maana wana migahawa yao tunapaita kwa FUFU naona ananipiga Baby baby nikasema enhee akasema kuna Jamaa fulan nilimuachaga Bangkok anataka aje kutembea huku ila hana wa kumtembeza ila nimeona niku link naye we ndo utamwonesha maeneo kadha wa kadhaa ! Kabla hata sijajibu naona namba ya Uganda inanipiga akasema NINAITWA SSSSSS nimepewa namba na manzi yako Kasema we mtu mzuri unajua maeneo Naomba unipokee niko njian, nikajiuliza mbona hata huku sijatoa jibu huyu ashatoa go ahead ?
Fiction?
 
Back
Top Bottom