Nashauri usije ukajiroga ukapenda Mnyarwanda. Nilimpata Ughaibuni ni matatizo matupu

Nashauri usije ukajiroga ukapenda Mnyarwanda. Nilimpata Ughaibuni ni matatizo matupu

Nitolee Gubu lako na ushamba wako!! Nani Kasema Nataka kuliwa! Inaonekana ni hamnazo kweli Wewe Kama jina lako

Una IDs zaidi ya moja ndo umeandikia uzi nyingine unakuja kujifanya mwanamke kutaka kutapeli watu. Hizi mbinu wanatumia sana Wanaijeria na Wachina kama ambavyo imeandikwa kwenye stories ya kitapeli. So hapo wewe unajifanya mwanamke na umemkubali jamaa.... Hii sasa inatengeneza ushindani kwa wanawake wengine. Mbinu hizi za zamani sana
 
Nimeisoma mwaka jana kweli nikakumbuke aliandika nani? No c'mon ni ngumu
Nasema Saka tu hata kwa google search itakuletea story hii kama ipo sehemu ! Hii aliokuwapo usiku live nilikiwa naweka Naandika nakaa na hariri narudia watakuona we una matatizo ya kumbukumbu kama umesahau hata story labda Nyingine unalinganisha na hii ! Isake mi nimeweka sh 2,700,000 Tzsh Nakutumia Mpesa chapu ilete story Hiyo ukishindwa upigwe ban
 
Wanyarwanda niwa kupiga pipe na kuondoka tu

We ukaweka kambi kabisa? Madogo bwana 😎

Muulize yeyote aliyeoa mnyarwanda kwanza wachafu kwa ndani, ni wavivu, ni Malaya, wana tamaa na Pesa, alafu wanyarwanda wenzake watakuwa wanamtafuna kawaida bila we kujua!
Kuua au kukuumiza kwa jambo dogo ni kawaida kwao

Tunawahitaga BASHUTI

Sijui katika vile vyakula alitaja Pascal Mayalla
Kama ameshapata kula hotelin Rwanda

Britanicca
 
Back
Top Bottom