Nashauri usije ukajiroga ukapenda Mnyarwanda. Nilimpata Ughaibuni ni matatizo matupu

Hapo umemaliza kila kitu,
Halafu wewe sio mbongo ndio maana umenipiga na kitu kizito kichwani, nilitegemea mbongo hapa angeaanza kuleta tilalila na mbaambaa nyingi
Salute Mkuu 🫡
Mi ni mbongo ila nieweka passport ya huyo demu
Sema nimekaa mbele huu Mwaka wa 10 ndo maana sina kona hihihi

Huoni passport Inaanza na TAE 2******
 
Stori Za Vijana waliokulia ushuani, go go go Orlando
 
Chai... Hii story ilisimuliwa Facebook mwaka juzi naona leo ndo imeletwa Jamoiforums na mtu mwingine. Wanabadilisha badilisha majina tu story imekaa kitapeli tapeli na haina uhalisia.
Kumbe we chizi na hapa Nipo usiku kucha ndo nimeiandika mwenyewe Facebook ipo Hiyo wakati sina hata account Facebook ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…