Nashauri usije ukajiroga ukapenda Mnyarwanda. Nilimpata Ughaibuni ni matatizo matupu


Udhaifu wa familia moja ya kinyarwanda haitoshi kuhukumu rwanda nzima japo hata mimi kuna mda sipati jibu kamili kuhusu hawa watu... iko hv mzee wangu alioa mke wa kwanza mnyarwanda kisha mama angu mtanzania. Sasa yule ma mkubwa mnyarwanda alifariki me niko mdogo ila tangu nimjue hadi alipofariki sikuwah kuon ndgu zake wakimtembelea shemeji yao(baba angu) na mzee nae hajawah kuwatafuta anasema et ma mkubwa alikuw mkimbizi japo walikutan tu kazini wakabebana so naonaga kun vtu haviko sawa na mzee ameamua kupotezea
 
Mkuu umeandika kwa gadhabu sana yalikukuta yepi kwa mtutsi
Alitembea na maaskali karbu kituo kizima ili nikimzingua au kumpiga akinipeleka dawati la jinsia wamsaidie kunigandamiza Mimi

Alitembea na maafisa wangu wale wakubwa kazini ili tukizonguana kesi okie da ofisini,wateteee na hata tukivunja mji apate nusu ya mshahara na akae na watoto na pia nimwachie nyumba moja


Alipoona nina ushaidi WA maongezi yake,sms ma video na picha akiwa wasiliana au akiwa aidha faragha au popote na hao watu ikabidi abadili mbinu

Akaanza enda kwa waganga na kuwapigia ndugu zangu akiomba yaishe turudiane

Yule Malaya aligawa k*ma huku na huku ili tu anaowapa wamsaidie kunigandamiza

Na siyo kugawa k*ma kashfa zote nilipewa,mara nadanga kwa kuwa mume wangu ana kibamia,aniridhishi kwa kuwa Huwa anapga NY*to

Aaahaaa,dah

Yule matako alipojua ninetegesha kamera ndogo ndani zilizonrekodi akifanya ujinga wake alikimbilia mwanza na sasa anafanya KAZI ya ubaamedi

Wale watu 60% ni mashetani,beautiful outside but ugly inside
 
Siyo wote ni hovyo,ila most of them ni devilish narcissist,manipulator,na evil
 
Sure
 
Dah uzi ulinipita huu...mleta uzi ana mapesa balaa🤪🤪🤪
 
Punguza jazba shekhe
 
kaka igweeeee umetisha sana na bonge la story nilitaka kusema we ni muongo ila ile kuscroll down nakuta ma evidence😁😁
 
Sasa Bro huyo si m@l@y@ tu hata wasukuma kina kajalar na wanyamwezi kina uwoyah wanaishi hivyo, makabila yameingiaje mkuu
 
Yuko mwanza bar gani mkuu nikamsalimie
 
Ukijimlisha inacheza kwenye 40M za bongo au 50M kabisa watz watbish ntaweka na miamala sifutagi kitu!
Unahonga 40m ila Waganda mnapenda kuhonga kuna Mganda namjua amehonga zaidi ya $500k kwa mwanamke wa Kikenya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…