Nashauri usije ukajiroga ukapenda Mnyarwanda. Nilimpata Ughaibuni ni matatizo matupu

Nashauri usije ukajiroga ukapenda Mnyarwanda. Nilimpata Ughaibuni ni matatizo matupu

Mleta mada namjua ni genuine kabisa tunamjua kitambo

Britanicca

wewe na YEHODAYA mlinisaidia 2020 kipindi dogo langu anataka ku soma Ukraine 🇺🇦! Watu wanatuona wa juzi kisa hatuandiki Mara kwa Mara​

Uzi 👇🏾

 
Wale watu ni wazuri na warembo ila Wana roho mbaya kishenzi

Ukimwacha shida na ukiwa shida vile vile

Hayajiagi kuachwa kwa amani,aisee

Ukikoswa kwa sumu jiandae kukabiliana na waganga wa kienyeji,ukikoswa hapo jiandae kuchanganywa na marafiki zako

Atatembea na washikaji zako au ndugu zako ili tu apate access ya kukontrok the narrative

Wale washenzi hawajuagi kuachwa
Punguzeni chuki nonsense
Kila jamii ina watu wabaya na wazuri kwendeni huko na chuki zenu
 
Back
Top Bottom