Nashauri vikao vya Tume ya Jaji Lila viwe LIVE, ili kuhamasisha wananchi watoe ushirikiano

JokaKuu

Platinum Member
Joined
Jul 31, 2006
Posts
38,298
Reaction score
72,863
Jaji Lila ajifunze kutokana na makosa ya Tume ya Jaji Chande. Wananchi walikatishwa tamaa pale Tume ilipoamua kufanya vikao vyake kwa siri.

Vikao vya Tume vikiwa LIVE wananchi watajenga imani na Tume na kuipa ushirikiano mkubwa zaidi.

Kwa hali inavyoendelea sasa hivi wanaotumwa kuisemea Tume na kuhimiza wananchi watoe ushirikiano hawana ushawishi kwa jamii.

View: https://www.youtube.com/shorts/JF2HQPH_Ibk
 
Jaji Lila ajifunze kutokana na makosa ya Tume ya Jaji Chande. Wananchi walikatishwa tamaa pale Tume ilipoamua kufanya vikao vyake kwa siri.

Vikao vya Tume vikiwa LIVE wananchi watajenga imani na Tume na kuipa ushirikiano mkubwa zaidi.

Kwa hali inavyoendelea sasa hivi wanaotumwa kuisemea Tume na kuhimiza wananchi watoe ushirikiano hawana ushawishi kwa jamii.

View: https://www.youtube.com/watch?v=FGcSxTXXE9M

huyu naye KAVIMBIWA tu MAHARAGE!
 
Zile tetesi kwamba baadhi ya waliotoa ushahidi kwa jaji Chande walipotezwa zilikuwa na ukweli?
 
Wakati mwingine kuipa serikali ushirikiano ni kama vile za kuambiwa changanya na za kwako...

Cc: Mahondaw
 
Back
Top Bottom