Nashauri Watanzania tuanzishe utaratibu wa kuchoma moto maiti

Mkuu unajua adhabu za kaburi na yule nyoka
 
Mimi nilikuwa natengeneza business plan na eneo ninalo kabisa
Najua hii plan itafanya kazi kwa kuwa wazungu wa ulaya tayari wanachoma mbele ya padri baada ya misa ya wafu, kwahiyo najua tutapata wateja wa kigalatia
Ila ilikuwa vigumu kupata wafanya kazi, sasa vipi uko tayari? tafuta na mchungaji atakaye kuwa anasoma misa ya wafu
Hii ya kwetu hatutatumia kuni, ni oven tu unabonyeza vitufe.


 
Wenzetu wanachoma kutokana na upungufu wa ardhi ya kuzikia; huku kwetu mapori yanazidi idadi ya watu
 
best option
 
Daaah mkuu ujue wewe sasa upo serious kabisa na mimi nilitaka mtu kama huyo an..

Sasa mkuu nataka tupate hata connection kwa watu wa hospital ili tuwe tunaongea na watu mapema unajua hii ya kuchoma inapunguza process na gharama za mazishi ujue
 
Mkuu upo vizri ahahah
 
Akili kisoda walokuwepo monchwari wangpi wamefufuka ? Au wale mnowaweka wiki wangapi wamefufuka?
Uislamu raha bhna unakufa unaoshwa unavikwa sanda unasaliwa unazikwa hlf kila mtu na njia yake pirika ziendelee
 
Ishu sio unazikwa vp, ishu roho yako itaenda wapi peponi au kuzimu?
 
Akili kisoda walokuwepo monchwari wangpi wamefufuka ? Au wale mnowaweka wiki wangapi wamefufuka?
Uislamu raha bhna unakufa unaoshwa unavikwa sanda unasaliwa unazikwa hlf kila mtu na njia yake pirika ziendelee
Kuna kitu ujaelewa hapo...ahaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…