Nashauri Wizari ya Nishati kuielekeza TANESCO kusitisha kwa muda kupokea maombi mapya ya kuunganishiwa umeme

Kuunganishiwa kwa shilingi 27 inashida gani?!
Si tumekubaliana tozo kwa Kila kitu tuvumilie.

Tozo si inakatwa kwenye pesa zetu ambazo tayari tumeisha lipia P.Y.E.

Kwa wafanya biashara si wanalipa Kodi.

Wakulima na wanyonge wengine si wamevumilia.

Tumieni tozo hizo mrahisishe maisha yetu.
 
Hakika marehem haombewe na kuheshimiwa na si vinginevyo.
Watoe mwongozo Basi kwa waliolipia 27.
 
Hili ndo naona likifanyika, kipara hawezi kusimamia bei ya elf 27......yupo kimichongo zaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…