Kizibo
JF-Expert Member
- Jul 3, 2018
- 4,617
- 10,524
Haina haja ya kusalimia.
Inatia hasira sana kuona watanzania hatuna la kufanya juu ya tunayofanyiwa na watawala.
Kuelekea maandamano ya tarehe 29/10/2025, nashauri yafuatayo.
1 LENGO / MALENGO YA MAANDAMANO YAWE MAHUSUSI NA YANAYOPIMIKA. (Measurable goal(s)
Tunaenda kuandamana ili kufanikisha nini??
Huwezi kuandamana lengo kuu likiwa kupinga utekaji. Haya, utajuaji utekaji umeisha ili usitishe maandamano?? Au tunaenda kuandamana siku 1 tu kujifurahisha??
Mapendekezo
Kutokana na utekaji, mauaji, ufisadi na ukiukwaji wa katiba, napendekeza melengo yawe kama haya.
a) kupinga uchaguzi, kwamba uchaguzi ni matili na utenguliwe na uitishwe mwingine utakaofanyika baada ya marekebisho ya sheria ya uchaguzi au katiba.
b) Watu fulani wakamatwe au wajiuzulu
c) Kuiangusha serikali.
Malengo ya kama hayo yanapimika, kwamba bila hayo kutimia maandamano hayasitishwi.
2 Maandamano yawe ya amani ili kupata kuungwa mkono na watu au vikundi vya watu wengine wenye nia ya kificho ya kuunga maandamano.
Waandamanaji tusijihusishe na uporaji na virugu kwa wafanya biashara au raia wengine. Tusivunje ofisi na tusipige watu hata wana ccm. Tunatamani kupata sapoti ya jeshi, itakuwa ngumu sana kwa jeshi kutuunga mkono ikiwa maandamano yatakuwa ya vurugu, uporaji na kuvunja maduka au ofisi za serikali. Organizers wa maandamano waliweke wazi hili na wazuie watu kujihusisha na uhallifu.
Maandamano yasiwe na taswira mbaya katika jumuia za kimataifa.
3. Organizers wa maandamano wawe na mpango mkakati na watueleze mkakati huo mapema. Maanadamano yataanzia wapi? Route ya maandamano itakuwa ipi. Maandamano yatajumuisha shighuli gani?? Kuimba? Kucheza? Kubeba mabango yenye ujumbe wa tunachotaka kifanyike au kifanyiwe kazi. Pia, organizers wawe na plan A, B na C ya route na schedule nzima ya maandamano.
4. Ikiwa ikatokea maandamano yakafeli (sababu ya ufala wetu sisi wenyewe) nashauri ianzishwe kampeni 1 au zote kati ya hizi 2
1. Kususia
2. Kudeal na adui zetu mmoja mmoja yeye na watu wa familia yake kimya kimya.
KUANDAMANA KUNAWEZA KUWA HATARI, LAKINI KUTOANDAMANA AU KUANDAMAMA KIUOGA UOGA NI HATARI ZAIDI