Nashauri Yanga tuhamie Amani, uwanja wa Mkapa tusiutumie tena mechi za CAF

Kama shida ni ulozi labda kwa imani yako, kwamba umewekwa viwanja vya kwa Mkapa na Azam. Amini pia unaweza kuwekwa uwanja wa Amani. Jambo la msingi ni kutafta shida ni nini??? Timu zimeanza kuzoea kutunga maana tunafungika. Huenda shida haikuwa Gamond ila kuna vitu havipo sawa ndani ya timu!
 
Kwakweli tuhame tu. Azam Complex walituroga tukahama, sasa hapa Taifa napo shida. Viongozi wafanye utaratibu tuhame tukatafute matokeo kwingine. Waganga wetu pia waangali dawa nyingine, hizi za sasa zimeshindwa
 
Kama shida ni ulozi labda kwa imani yako, kwamba umewekwa viwanja vya kwa Mkapa na Azam. Amini pia unaweza kuwekwa uwanja wa Amani. Jambo la msingi ni kutafta shida ni nini??? Timu zimeanza kuzoea kutunga maana tunafungika. Huenda shida haikuwa Gamond ila kuna vitu havipo sawa ndani ya timu!
Tatizo wachezajji wameshikana ushoga na.manara tumekwisha
 
Haya mazito sasa! Ila kuna namna Yanga haipo sawa kabisa. Huoni wachezaji wakivuja jasho la damu. Kocha aliyekuja haki atatupoteza. Kingine, nimesikia Engineer anautafta ubunge kwa nguvu sana, sasa huenda pia amepunguza hamasa akiyokuwa nayo awali kwa wachezaji. Akili yake inawaza Ubunge! Twafwa!
 
Jimbo la wapi
 
FB_IMG_17326229305142026.jpg
 
Back
Top Bottom