Baba mtumishi
JF-Expert Member
- Sep 10, 2024
- 306
- 266
Narudia Tena tatizo la yanga siyo kocha Wala wachezaji injia anajua ila kiburi chake cha kuwadharau waasisi walio mng'arisha na kuwakumbatia akina kamwe kuwa wanamipango ya uzalishaji ndiyo unamponza, simba wamesumbuka sana kwa kosa kama Hilo limewaghalimu fedha na kukosa makombe kwa miaka mitatu hawata weza kurudia makosa.Nashauri mechi za Caf zote uwanja wetu wa nyumbani uwe uwanja wa Aman Zanzibar!
Au mnasemaje ndugu zangu! Yanga hii inafungwaje! MBELE DAIMA NYUMA MWIKO!!!