Nashauri Yanga tuhamie Amani, uwanja wa Mkapa tusiutumie tena mechi za CAF

Nashauri Yanga tuhamie Amani, uwanja wa Mkapa tusiutumie tena mechi za CAF

Hawa wanapoelekea kuna siku wanaweza kufanya maamuzi ya kuhama nchi
 
Nashauri mechi za Caf zote uwanja wetu wa nyumbani uwe uwanja wa Aman Zanzibar!

Au mnasemaje ndugu zangu! Yanga hii inafungwaje!
Peleka uchawa wako huko dmkali . Nakumbuka mwaka ule ulisema Yanga ihamie Chato. Pumbaf
 
Kweli kosa lake Nini? Hapa tulikosa busara.
IMG-20241126-WA0003.jpg
 
Hata mkipeleka mechi zenu chumbani kwa Hersi au kwenye bustani ya GSM lazimw mbutuliwe tu.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji382][emoji382][emoji382]
 
Nilikuwa kwenye mazoezi nikakutana na kundi la mashabiki wa Yanga wanatoka kibanda umiza wako kimya nikasema hapa tayari wameshalizwa....
 
Nashauri mechi za Caf zote uwanja wetu wa nyumbani uwe uwanja wa Aman Zanzibar!

Au mnasemaje ndugu zangu! Yanga hii inafungwaje! MBELE DAIMA NYUMA MWIKO!!!
Hahaaaah mbavu zangu mie! Wee jamaa siyo yanga kwa uandishi huo wa kinafiki
 
Back
Top Bottom