Nashauri Yericko nyerere asiwe mjumbe kamati kuu ya CHADEMA, abakie mwanachama wa kawaida kwasababu hana vigezo

Yerko na Ntobi hawastahili kuwa viongozi.
Kwa nini? Kwa sababu walithubutu kupingana waziwazi na Mwenyekiti? Watu kama hao ndio wanahitajika maana hawatakuwa wanamuimbia mapambio. Na itamuonyesha Mwenyekiti kuwa kweli anataka kutibu majeraha.

Amandla...
 
Yericko Nyerere wewe ni attention seeker, aibu kwa mtu wa umri wako kuwa hivyo....
 
Kuna changamoto lakini kwa huyu kijana alifikia hatua kutukana viongozi kama lissu na lema kwa kuwapigia simu!
Hana adabu hata kidogo wa kuheshimu wakubwa!

Kuna vijana wengi sana ambao wanastahili kuwa katika mkutano mkuu lakini siyo huyo nyerere
 
Nafasi za uteuzi mwenyekiti alizopewa na katiba ya chama za watu sita ,mwenyekiti amebaki na nafasi moja tu , ya dharula so Yeriko hawezi kupewa

Akae na kuandika vitabu na apunguze ka mdomo.
Note

Kuna kitu nimejifunza sana , tukae kwa kueshimiana kesho yetu Mungu ndo anajua, yupo yule dada wa njombe nafikili Rose Mayemba (samahani kama nimekosea jina)

Ambae uchaguzi katika mkoa wake wa njombe mpaka sasa haujapata mwenyekiti , na juzi alisema alivyofika makao makuu ya chama na kufukuzwa kama mbwa yumo katika nafasi hizo sita

Mh Lemma ambae ni juzi tu , hapa jf kuna wanajamii forum alikuja na andiko la nia kumfukuza chama leo mjumbe wa kamati kuu.

Tupunguze kamdomo kama Yeriko Nyerere
 
Yericko amekuacha mbali sana kifedha na tambua kwamba fedha haiendi kwa mtu mjinga.

Ana miliki Mansion 3 Storey building.
Kwa sababu anamiliki hivyo vitu basi ndio unaona anastahili kuwa mjumbe wa kamati kuu CHADEMA?
 
Kuna Mwanasheria anaitwa Dansitan Mtagaywa yupo Bukoba amekuwa diwani wa kamachumu Halmashauri ya wilaya Muleba akagombea ubunge kumtoa mwijage kwa tiketi ya chadema. People's yule Mwamba akumbukwe ni adhina ya chama. Muulize professa Anna Tibaijuka na ununuzi wa boti feki ziwa Victoria akwambie kijana ninani only 41 years.
 
Kuliko nyerere ambae kazihilisha wazi kabisa hana chochote zaidi ya lugha chafu
 
Yeriko km atakuwa mstaarabu basi anaweza kujiuzulu ujumbe wa kamati kuu, kwa sababu haamini na hakuamini ktk uongozi wa kiongozi mpya Tundu Lisu kuongoza Chadema,,,,bc anatakiwa aachie ngazi kwa kuongozwa na dhamira Ile Ile alikuwa anaieleza kwenye kampeini zake,
 
Hana huo mshipa wa aibu ..tangu lini chawa ana muda wa kuwaza?
 
Shusha chini kabakie kuwa kakunja ngumi ka chini kabisa
 
Kwa sababu anamiliki hivyo vitu basi ndio unaona anastahili kuwa mjumbe wa kamati kuu CHADEMA?
Hapana mkuu ,amesema kwamba Yericko ni "mento" ,Mjinga ,hana akili ndiyo nimemjibu hivyo kwama ana fedha kumzidi yeye na fedha kamwe haiendi kwa MJINGA(means Yericko ana akili).
 
namshauri tundu lisu amteue mdude nyagali kuwa mjumbe wa kamati kuu ya chama hicho Cha chadema, mdude nyagali achukue nafasi ya yericko nyerere
Atachaguliwa tu jamaa kakipigania sn chama halafu mbowe kwa siasa zake za maridhiano akawa anamtenga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…