GUSA ACHIA BAHASHA GOLI
JF-Expert Member
- Apr 19, 2023
- 5,110
- 7,349
Yericko amekuacha mbali sana kifedha na tambua kwamba fedha haiendi kwa mtu mjinga.
Ana miliki Mansion 3 Storey building.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yericko amekuacha mbali sana kifedha na tambua kwamba fedha haiendi kwa mtu mjinga.
Ana miliki Mansion 3 Storey building.
Kwa nini? Kwa sababu walithubutu kupingana waziwazi na Mwenyekiti? Watu kama hao ndio wanahitajika maana hawatakuwa wanamuimbia mapambio. Na itamuonyesha Mwenyekiti kuwa kweli anataka kutibu majeraha.Yerko na Ntobi hawastahili kuwa viongozi.
Yericko azipate wapi hizo mali?Yericko amekuacha mbali sana kifedha na tambua kwamba fedha haiendi kwa mtu mjinga.
Ana miliki Mansion 3 Storey building.
Acha ujinga Tundu lissu mwenyewe hana hela anabangaiza tuYericko amekuacha mbali sana kifedha na tambua kwamba fedha haiendi kwa mtu mjinga.
Ana miliki Mansion 3 Storey building.
Kuna changamoto lakini kwa huyu kijana alifikia hatua kutukana viongozi kama lissu na lema kwa kuwapigia simu!Hizo ni Changamoto tu za ukuaji wa Demokrasia,popote penye ukuaji mambo kama hayo lazima yajitokeze,labda mchakato ufanywe kibabe kama CCM walivyompitisha mgombea wao kinguvu na kabla ya wakati.
Kikubwa ni Viongozi wapya watumie nafasi zao kuponya majeraha yaliyotokana na mchakato wa uchaguzi na kuwaleta wajumbe pamoja na wanachama pamoja.
Nafasi za uteuzi mwenyekiti alizopewa na katiba ya chama za watu sita ,mwenyekiti amebaki na nafasi moja tu , ya dharula so Yeriko hawezi kupewaKatika kuweka chama katika heshima na ubora hatuezi kupuuzia busara za wajumbe.
Wajumbe ni jicho la wanachama!
Wanachama hatuwezi kuendelea kuwakilishwa na walemavu wa ubongo kamati kuu!
Sipo hapa kuhoji Yericko Nyerere aliupataje ujumbe wa kamati kuu lakini nashauri huyo kijana asiwepo kabisa kwenye sehemu ya wajumbe kamati kuu!
Naomba uongozi mpya mlikumbuke hilo.
Awe mwanachama wa kawaida kabisaYericko Nyerere kavuna mabua hana chake tena, aendelee na siasa zake za chuki nje ya uongozi.
Ni sawa huko asiwepo kabisa hafai hata kuwa mmoja wao kamati kuuNafikiri siyo mjumbe wa KK, ila Baraza kuu
Asiwepo kabisa baraza kuu!Yericko Nyerere wewe ni attention seeker, aibu kwa mtu wa umri wako kuwa hivyo....
Kwa taarifa chama kinaenda kusikilizwa kule chini kabisaaaAcha ujinga Tundu lissu mwenyewe hana hela anabangaiza tu
Kwa sababu anamiliki hivyo vitu basi ndio unaona anastahili kuwa mjumbe wa kamati kuu CHADEMA?Yericko amekuacha mbali sana kifedha na tambua kwamba fedha haiendi kwa mtu mjinga.
Ana miliki Mansion 3 Storey building.
Kuliko nyerere ambae kazihilisha wazi kabisa hana chochote zaidi ya lugha chafuKuna Mwanasheria anaitwa Dansitan Mtagaywa yupo Bukoba amekuwa diwani wa kamachumu Halmashauri ya wilaya Muleba akagombea ubunge kumtoa mwijage kwa tiketi ya chadema. People's yule Mwamba akumbukwe ni adhina ya chama. Muulize professa Anna Tibaijuka na ununuzi wa boti feki ziwa Victoria akwambie kijana ninani only 41 years.
Yeriko km atakuwa mstaarabu basi anaweza kujiuzulu ujumbe wa kamati kuu, kwa sababu haamini na hakuamini ktk uongozi wa kiongozi mpya Tundu Lisu kuongoza Chadema,,,,bc anatakiwa aachie ngazi kwa kuongozwa na dhamira Ile Ile alikuwa anaieleza kwenye kampeini zake,Katika kuweka chama katika heshima na ubora hatuezi kupuuzia busara za wajumbe.
Wajumbe ni jicho la wanachama!
Wanachama hatuwezi kuendelea kuwakilishwa na walemavu wa ubongo mkutano mkuu wa maamuzi!
Sipo hapa kuhoji Yericko Nyerere aliupataje ujumbe wa mkutano mkuu lakini nashauri huyo kijana asiwepo kabisa kwenye sehemu ya wajumbe!
Naomba uongozi mpya mlikumbuke hilo.
Hana huo mshipa wa aibu ..tangu lini chawa ana muda wa kuwaza?Yeriko km atakuwa mstaarabu basi anaweza kujiuzulu ujumbe wa kamati kuu, kwa sababu haamini na hakuamini ktk uongozi wa kiongozi mpya Tundu Lisu kuongoza Chadema,,,,bc anatakiwa aachie ngazi kwa kuongozwa na dhamira Ile Ile alikuwa anaieleza kwenye kampeini zake,
Hapana mkuu ,amesema kwamba Yericko ni "mento" ,Mjinga ,hana akili ndiyo nimemjibu hivyo kwama ana fedha kumzidi yeye na fedha kamwe haiendi kwa MJINGA(means Yericko ana akili).Kwa sababu anamiliki hivyo vitu basi ndio unaona anastahili kuwa mjumbe wa kamati kuu CHADEMA?
Atachaguliwa tu jamaa kakipigania sn chama halafu mbowe kwa siasa zake za maridhiano akawa anamtenganamshauri tundu lisu amteue mdude nyagali kuwa mjumbe wa kamati kuu ya chama hicho Cha chadema, mdude nyagali achukue nafasi ya yericko nyerere