Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwamba umeua 🤣🤣🤣🤣Niliposoma huu ujinga ulioandika hapa sasa nakubaliana rasmi na Khadija Kopa kwamba kuna kuzaa na kunya, tena wewe yawezekana mama yako amekujamba kabisa.
Ndiyo mkuu, Ningecheza na keyboard😂kwamba where is to yeye ?
Wabongo uwa tunasubiri mtu aanzishe kitu tukishaona kimeanza kufanikiwa tunaanza lawama na kutaka kuharibu.Ikiwa dhahiri kabisa kuwa zuchu ni Kati ya wasanii watatu wakubwa Tanzania na Africa mashariki boss wake diamond plutnum amekuwa akiingia pesa nyingi sana kupitia nyimbo za zuchu au zile alizomshirikisha zuchu, hivyo diamond kiuhalisia ni chawa wa chinichini wa zuchu.
Kwakuwa zuchu Sasa kimauzo yupo juu sana kushinda diamond, na mgao wake Kama inavyoSemekana ni chini ya asilimia 30 katika kila mauzo basi ni wazi diamond anatumia upepo wa zuchu, na Sasa hivi anazuga kuwa wapo katika mapenzi kitu ambacho no uongo mkubwa, huyo mtu alishindwana na jokate, penny, Natasha na Hawa wote walikuwa ni wife material, Sasa aje kuchukua mzanzibari ambaye ana uzuri wa kawaida Sana tofauti na type za diamond,
Kinachofanyika ni zuchu kutumiwa Kama njia ya kuingiza pesa, nashauri Zuchu atoke Wcb, awarudishie gari lao, na aondoke katika nyumba aliopangishiwa , vinginevyo ataendelea kuwa mzukule wa wcb, ye mwenyewe anapata kiasi kidogo mno , huwezi mwambia hata Kama ana milioni 70 bank Hana.
Nenda Kama alivyoenda harmonize, wewe una potential ya kuwa msanii namba moja east africa. Malebo Lebo yatakuwa stress Kama yalivyompa Vanessa alichoambulia ni Mume wa kinaigeria.
Nawasilisha
Wakataka kumponza na Harmo wakashindwa sasa wamehamia kwa zuchu..Huenda watu kama nyie ndiye mliyemponza Mavoko. Now mmemtelekeza.
Hata hvyo ukituambia sisi sijui kama ujumbe utamfikia, ungemfata anakoishi ukampa hili bango.
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji848]Zuchu hana jeuri ya kutoka wcb. Kwanza akiwa hapo tu hawezi shindana na nandy akitoka humo si atakua kama amber ruty tu
Weh aah wapi..hii ukimtoa konde boy pale wcb hakuna mwingine ana ubavu wa kuitafuta hii alipe ili atokeMilion 600 anayo
Unampoteza wewe kimaIkiwa dhahiri kabisa kuwa zuchu ni Kati ya wasanii watatu wakubwa Tanzania na Africa mashariki boss wake diamond plutnum amekuwa akiingia pesa nyingi sana kupitia nyimbo za zuchu au zile alizomshirikisha zuchu, hivyo diamond kiuhalisia ni chawa wa chinichini wa zuchu.
Kwakuwa zuchu Sasa kimauzo yupo juu sana kushinda diamond, na mgao wake Kama inavyoSemekana ni chini ya asilimia 30 katika kila mauzo basi ni wazi diamond anatumia upepo wa zuchu, na Sasa hivi anazuga kuwa wapo katika mapenzi kitu ambacho no uongo mkubwa, huyo mtu alishindwana na jokate, penny, Natasha na Hawa wote walikuwa ni wife material, Sasa aje kuchukua mzanzibari ambaye ana uzuri wa kawaida Sana tofauti na type za diamond,
Kinachofanyika ni zuchu kutumiwa Kama njia ya kuingiza pesa, nashauri Zuchu atoke Wcb, awarudishie gari lao, na aondoke katika nyumba aliopangishiwa , vinginevyo ataendelea kuwa mzukule wa wcb, ye mwenyewe anapata kiasi kidogo mno , huwezi mwambia hata Kama ana milioni 70 bank Hana.
Nenda Kama alivyoenda harmonize, wewe una potential ya kuwa msanii namba moja east africa. Malebo Lebo yatakuwa stress Kama yalivyompa Vanessa alichoambulia ni Mume wa kinaigeria.
Nawasilisha
Mimi pia,anajua kuimba,anacheza vizuri,Tungo zake zina kiswahili cha kipekee sana na kuna kitu sijakijua bado,ila ndio nampendea hicho nahisi.Ninampenda sana Zuchu
Mimi pia,anajua kuimba,anacheza vizuri,Tungo zake zina kiswahili cha kipekee sana na kuna kitu sijakijua bado,ila ndio nampendea hicho nahisi.
Weh aah wapi..hii ukimtoa konde boy pale wcb hakuna mwingine ana ubavu wa kuitafuta hii alipe ili atoke