Nashauri Zuchu atoke WCB haraka maana Diamond anatembelea nyota yake, hakuna mapenzi

Nashauri Zuchu atoke WCB haraka maana Diamond anatembelea nyota yake, hakuna mapenzi

Binadamu wa kuwaharibiaga maisha wenzao hawakosekani,kabla ya wcb nani aliyemjua Zuchu?

Usimpotoshe mtoto wa watu,acha aondoke pale atakapoamua yeye mwenyewe na usimgombanishe na kampuni iliyomuajiri,sidhani kama akiondoka ghafla kama utamsupport kwa lolote
 
Diamond hakudeserve kuwa na Zuchu

u atamuumiza tu mwishoni tuko tu hapa hapa...hata body language inasema kabisa he is using her...! hakuna love pale...Ila SAA hii ukimwambia, Zuchu hawezi akakuelewa penzi bhana halinaga masikio....Likiisha ndio hupata na pua ,mdomo ,na
macho kabisa! na masikio husikia Ila ni baada ya.
 
Kabla ya kukutana na Diamond, I mean kabla hajatua WCB ndiyo nyimbo zake zilikuwa kali?

Nyimbo zake nzuri ni zile za mwanzo, sijui kama alizitunga kabla au baada ya kuwa na damondi…. ila hizi za sasa ni utopolo tupu.
 
Back
Top Bottom