Nashauri Zuchu atoke WCB haraka maana Diamond anatembelea nyota yake, hakuna mapenzi

Niliposoma huu ujinga ulioandika hapa sasa nakubaliana rasmi na Khadija Kopa kwamba kuna kuzaa na kunya, tena wewe yawezekana mama yako amekujamba kabisa.
Mwamba umeua 🀣🀣🀣🀣
 
Reactions: Qwy
Wee mtu hebu nambie Vanessa alikua ktk label gan? Km ambavyo zuchu yuko WCB? Vanessa ndo alianzisha label yake Mdee music, akiwa na mimi mars, Brian Simba.

Km n label ya Bi Hits, alishatoka tangu 2013, sasa hizo stress za label kwake umezitoa wapi? Kuhusu kupata mwanaume Nigeria, wee unaumia mnoo? Au rotimi ulitaka uwe wako wee?

Kwan usingeweza kumzungumzia huyo zuchu bila kumuhusisha Vanessa?
Msieeeeeew.
 
Wabongo uwa tunasubiri mtu aanzishe kitu tukishaona kimeanza kufanikiwa tunaanza lawama na kutaka kuharibu.
 
asee hizi njaa zimefanya watu wanafikiria na tumbo.

Mkuu hakuna asie na boss kumbuka tamaa mbele mauti nyuma...hakuna pesa za kutosha watu wanaridhika tu na wanachopata ukileta ujuaji sana unapotea..ni bora WCB ife kuliko kujitoa.
 
Japo co mdau wa wcb Mimi na Wala cjawah kuelewaga anachoimba zuchu na ofcz kiuzur zuchu ni mwanamke average saaaana ki sura na umbile (labda huko ndani Kama yaliyomo yamo) Ila hiki ukichoandika ni chuk kubwa Sana na hakina uhalisia
 
Unampoteza wewe kima
 
Reactions: Qwy
Mimi pia,anajua kuimba,anacheza vizuri,Tungo zake zina kiswahili cha kipekee sana na kuna kitu sijakijua bado,ila ndio nampendea hicho nahisi.

Chuchu kaharibiwa na damondi, siku hizi nyimbo zake hakuna kitu.
 
Basi watulie tu.

Ni kweli kuwa chini ya lebo kuna wakati inaumiza ila ndo hivyo mkataba umeshasaini
Weh aah wapi..hii ukimtoa konde boy pale wcb hakuna mwingine ana ubavu wa kuitafuta hii alipe ili atoke
 
Umejiuliza kabla ya kwenda WCB huyo zuchu alikuwa na status ipi ktk mziki wa Bongo flava?.

Mkuu, kwani zuchu akiondoka WCB, hii music label itakufa!?

Acha chuki binafsi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…