DeMostAdmired
JF-Expert Member
- Oct 7, 2017
- 1,579
- 3,798
Haiclik kichwani kabisa kuna ushahidi wa kimazingira unakufunga[emoji23][emoji23][emoji23] ckua na ratiba ya kwenda home, ila shule nlidanganya narud home, na home hawakua wanajua chochote, maana likizo ndogo, nlikua sirudi home nabaki shule.
Hakukua na sponsor, nlikua mwenyewee tyuu.Ila sponsor alifaidi sana vp alikuweka na Ile staili mpya ya mijuu guu? Au ni mwendo wa missionary kusaga kunguni?
Upii? [emoji23][emoji23][emoji23]Haiclik kichwani kabisa kuna ushahidi wa kimazingira unakufunga
Ulikaa siku ngapHakukua na sponsor, nlikua mwenyewee tyuu.
Ni ngumu kwa mwanafunzi kwenda kupanga hotelin hafu kusiwe na namna yyte ni ngumuUpii? [emoji23][emoji23][emoji23]
Si ilikua likizo jamani. [emoji23][emoji23][emoji23]Ni ngumu kwa mwanafunzi kwenda kupanga hotelin hafu kusiwe na namna yyte ni ngumu
Ya siku ngapSi ilikua likizo jamani. [emoji23][emoji23][emoji23]
Cku 16 km nakumbuka, ilikua likizo ya Easter.Ya siku ngap
Chumba Cha chini laki mbili,Cha juu laki 540kNi ngumu kwa mwanafunzi kwenda kupanga hotelin hafu kusiwe na namna yyte ni ngumu
Anatuletea how come, yeye aseme ukweli tu alienda kuchapwa muhuliChumba Cha chini laki mbili,Cha juu laki 540k
Kwa siku ulilipa shingapCku 16 km nakumbuka, ilikua likizo ya Easter.
250+Kwa siku ulilipa shingap
Hahahaha ukishainunua basi wale jamaa wa magereza watakuja kudai ardhi yao hahah mvi aliporaMoja ya hoteli ambayo ni alama katika mji kasoro bahari wa Morogoro ambayo ilianza kazi tangu mwaka 2007 imeingizwa sokoni. Wenye nia ya kununua wanatakiwa kuwasilisha pendekezo lao kabla ya May 27.
Wataalamu wa sekta, Nashera imekumbwa na nini au ameamua kuuza akaangalie usawa mwingine?
Pia, soma=> Hali ikiendelea hivi, Nashera hotel nayo itafungwa!
View attachment 2980825
Nimecheka sana mkuu, sema waswahili tuna visa sana. Serikali ingeichukua hii, nzuri sana.Mwaka jana nilikuwa hapo nilipoona tu waswahili ndio wanacheza golf nikajisemea Nashera haina muda.
Usimdharau mtu mkuu,kuna wanafunzi wakike wa mzumbe nilikutana nao hapo wapo kama watano, walilala hapo kuanzia Christmas Hadi mwaka Mpya 2014,..Anatuletea how come, yeye aseme ukweli tu alienda kuchapwa muhuli
Eneo la Magereza??nikajua la wizara ya utalii na Mali Asili,kulikua na mabwawa ya samaki na shamba la michungwaHahahaha ukishainunua basi wale jamaa wa magereza watakuja kudai ardhi yao hahah mvi alipora
Japo imekaa kibaguzi ila inachekesha.Mwaka jana nilikuwa hapo nilipoona tu waswahili ndio wanacheza golf nikajisemea Nashera haina muda.