Nashindwa fanya maamuzi kati ya wanawake hawa wawili

Nashindwa fanya maamuzi kati ya wanawake hawa wawili

Hongera kwa kusafiri nje ya nchi
Lkn ww nikilaza mno unamnunuliaje mwanamke kiwanja tena kwa jina lake ambae sio mkeo na kumuamini kiwango Cha kumfanya awe msimamizi nashangaaa
Wewe huwez kuwa Baharia
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] dunia hadaa ulimwengu shujaa #the devil is a lier
Sababu za kumuacha mke wako wa kwanza in nyepesi Sana. Ni Kama ilikuwa unamtafutia sababu ya kumuacha. Biashara watu Kila siku zinafungwa ndo umuache mke wako wa ndoa sababu kaua biashara hapohapo wewe unahonga viwanja?acha hizo mrudie mke wa Kwanza umuombe msamaha.
 
Back
Top Bottom