Mtanzatozo
JF-Expert Member
- Mar 2, 2016
- 971
- 1,165
Nieleweshe juu ya hili [emoji848]Kifupi hela unayoipata haitoshi kuishi maisha yako na kusave, sio kwamba huwezi kutunza hela. Mi mwenyewe wale wale mkuu. Kuna mbinu yakutumia hela kabla hujaishika inasaidia sana atleast unakua hauna hela ila una move kimaisha.
Asset ya Laki duh 😳mmmh zinapatikana wapi huko?Nunuaga Asset. Mfano ukipata Laki nunua kitu.
Au una biashara? Ukipata laki ongeza mzigo (mtaji).
Mwenyewe wale wale tu.
Solution ni kuongeza kiapato chakoNASHINDWA KABISA KUKAA NA PESA
Wakuu nimeshindwa kuvumilia maana napata mtihani sjui wa aina gani.
Wakuu kila napojitahidi kuweka kapesa kangu japo kidogo lakini nashindwa kabisa kuhifadhi, hata nikimpa wife haipiti wiki ntaanza kujiskia vibaya kwa kukosa kuwa nayo mimi!
Ntatafuta kila sababu ili niiombe, dah!
Nipe nikuwekeeNASHINDWA KABISA KUKAA NA PESA
Wakuu nimeshindwa kuvumilia maana napata mtihani sjui wa aina gani.
Wakuu kila napojitahidi kuweka kapesa kangu japo kidogo lakini nashindwa kabisa kuhifadhi, hata nikimpa wife haipiti wiki ntaanza kujiskia vibaya kwa kukosa kuwa nayo mimi!
Ntatafuta kila sababu ili niiombe, dah!
Umenikumbusha kitabu cha Tajiri wa BabiloniMkuu usiwe na wasiwasi,njoo inbox tuyajenge,nikupe account yangu niwe nakutunzia mwisho wa siku nakupa na faida kabisa.