Nashindwa kabisa kukaa na pesa, nifanye nini?

Nashindwa kabisa kukaa na pesa, nifanye nini?

Mtanzatozo

JF-Expert Member
Joined
Mar 2, 2016
Posts
971
Reaction score
1,165
NASHINDWA KABISA KUKAA NA PESA

Wakuu nimeshindwa kuvumilia maana napata mtihani sjui wa aina gani.

Wakuu kila napojitahidi kuweka kapesa kangu japo kidogo lakini nashindwa kabisa kuhifadhi, hata nikimpa wife haipiti wiki ntaanza kujiskia vibaya kwa kukosa kuwa nayo mimi!

Ntatafuta kila sababu ili niiombe, dah!
 
Kifupi hela unayoipata haitoshi kuishi maisha yako na kusave, sio kwamba huwezi kutunza hela. Mimi mwenyewe wale wale mkuu. Kuna mbinu yakutumia hela kabla hujaishika inasaidia sana atleast unakua hauna hela ila una move kimaisha.
 
Kifupi hela unayoipata haitoshi kuishi maisha yako na kusave, sio kwamba huwezi kutunza hela. Mi mwenyewe wale wale mkuu. Kuna mbinu yakutumia hela kabla hujaishika inasaidia sana atleast unakua hauna hela ila una move kimaisha.
Nieleweshe juu ya hili [emoji848]
 
Hela yako ni ndogo, labda kama ni mlevi au mzinzi.
 
NASHINDWA KABISA KUKAA NA PESA

Wakuu nimeshindwa kuvumilia maana napata mtihani sjui wa aina gani.

Wakuu kila napojitahidi kuweka kapesa kangu japo kidogo lakini nashindwa kabisa kuhifadhi, hata nikimpa wife haipiti wiki ntaanza kujiskia vibaya kwa kukosa kuwa nayo mimi!

Ntatafuta kila sababu ili niiombe, dah!
Solution ni kuongeza kiapato chako
 
Unaweza kupang matumiz kabda ya kushika hela pia inasadia haswa coz ukishika hela direct inaenda kwa matumiz husika
 
NASHINDWA KABISA KUKAA NA PESA

Wakuu nimeshindwa kuvumilia maana napata mtihani sjui wa aina gani.

Wakuu kila napojitahidi kuweka kapesa kangu japo kidogo lakini nashindwa kabisa kuhifadhi, hata nikimpa wife haipiti wiki ntaanza kujiskia vibaya kwa kukosa kuwa nayo mimi!

Ntatafuta kila sababu ili niiombe, dah!
Nipe nikuwekee
 
Mkuu usiwe na wasiwasi,njoo inbox tuyajenge,nikupe account yangu niwe nakutunzia mwisho wa siku nakupa na faida kabisa.
 
Back
Top Bottom