Nashindwa kuacha mapenzi kinyume na maumbile

Nashindwa kuacha mapenzi kinyume na maumbile

kama hao unaowadoo wanafurahia kamchezo ukiwacha na wenyewe watakuacha
 
nenda mbele rudi nyuma
asikwambie mtu hakuna mfiraji duniani ambaye hajawahi kuliwa iwe kwa kujua au kutokujua.yaani mwanaume ukishaliwa lazma uwe na ham na ww ya kuwakaza koki hata km uliliwa mara 1 tu lazma mchezo wako uwe wa kulawiti wenzio

Sent using Jamii Forums mobile app
Mmh jamani
 
Ila Jamani tusikimbilie kutoa lawama haipendez nisawa nivyema kagundua kosa nakujutia kosa lake mpaka hapo Mungu amemsamehe kikubwa nikumshauri afanye nini ujue amekuja apate ushauri ebu chukulia nimwanao au ndugu yako kamwe huwez sema hayo lazima utaumia utawaza umsaidieje Jamani tuwe wakumuogopa mungu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom