No Escape
JF-Expert Member
- Mar 7, 2016
- 6,663
- 7,785
Faida ya kufanya huo mchezo wako kuna siku utawekewa mipira huko kwenye kikojoleo chako yaani namaanisha itapitishwa hapohapo unapokojolea na maumivu utakayokuwa unayapata na aibu utakayokuwa nayo siku unapata hiyo tiba utakuwa ukiwakumbuka wote uliowafanyia huo mchezo mrudie muumba wako unachelewa nakuonea huruma inawezekana tayari ni muathirika kutokana na hayo maelezo yako hapo juu