secret file
JF-Expert Member
- Sep 10, 2019
- 5,843
- 8,637
Hii comment inaweza kuamsha hasira......Muda huu baada ya kuona huu uzi , nimetest kununua units za miatano (chini ya kiwango chao wanachotaka 1000tsh), ngoma inagoma kabisa wanadai eti "tender more money😝"
Nimemwambia mke wangu ajaribu na yeye wanamuandikia hivyo.
Nilichogundua ni kwamba hii tozo ya luku atakatwa mtu yoyote bila kujali anamiliki nyumba au laa
Huu ni upuuzi mkubwa sana,yani hawaridhiki na hela za miamala na mafuta sasa wamehamia kwenye LUKU, na kibaya zaidi hela zetu zinatumiwa na mpumbavu mmoja kufanya ziara za kijinga tu, kutwa anazunguka na misafara kwenye nchi za watu kijinga kijinga tu.
Muda si mrefu watatuletea na Tozo za pumbu Sasa🤒.
ukiwa na buku mbili huwezi kununua umeme