Nashindwa kuamini hiki ninachokisoma kuhusu haya makato ya LUKU

Hii comment inaweza kuamsha hasira......
ukiwa na buku mbili huwezi kununua umeme
 
Sasa ukiweka umeme wa buku wanakata nini kiuno ama??

Maana kuna mtu kanunua wa 5000 kapewa unit 1 na point sasa wa buku si unapata units 0.02.
 
Tulimtukana sana yule dingi but he was right....
kweli tutamkumbuka
 
Sasa ukiweka umeme wa buku wanakata nini kiuno ama??

Maana kuna mtu kanunua wa 5000 kapewa unit 1 na point sasa wa buku si unapata units 0.02.
Ukiwa na buku mbili huwezi nunua umeme ....
unaambiwa hela haitoshi kulipa deni
 
Mkuu ni makato ya July na August... Wanadai tozo ilibidi ianze 1st JULY...

Ni hayo tu

Kama ilitakiwa ianze 1st July ,Mbona wamekuja kuanza 20 August? Walikuwa wapi kutangaza? Mbona Miamala haikuanza tarehe 1 July?
 
Ukiwa na buku mbili huwezi nunua umeme ....
unaambiwa hela haitoshi kulipa deni
Duuuuh huu ukuda sasa, buku 2 hununui umeme aisee mbona maisha yako juu namna hii. Sasa sisi tuliopanga tutainufaisha sana serikali kwa hizi kodi, haijakaa sawa kwakweli waliangalie upya hili.
 
Kodi ya majengo imepitishw ana bunge kwenye bajeti ya serikali ili ikusanywe kwa kupitia luku
wewe bwege
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…