Nashindwa kuamua

Nashindwa kuamua

Miaka 22 too young eb fanya maisha kwanza uone utazaliwa na kusingziwa watoto san
Ni kweli ndugu lakini kwangu nililiona si jambo jema kutoa mimba japo ilikuwa unplanned!! Nliona bora majukumu kuliko kutekeleza jambo lile
 
Unafanya kazi au unasoma? wakati unafanya ngono kwanini hukuchukua kinga? ulimshauri kua kitakachotokea kwenye dhambi hiyo mlio ifanya uko tayari kuchukua majukumu la sivyo ndio itakua mwisho wenu?
age yako ni just 22 nimdogo sana hata kuanza huo mchezo ulitakiwa uwe chuo unashindana na wenzio kwenye masomo sio ngono that too zembe kwanini kijana ujipendi jamani........
Sijakataa kukosea kwangu,lakini kama Mimi ningemlazimisha kutoa ingekuwa jambo kubwa na tofauti sana.Najua ananipenda kwa hali zote lakini nahic kukosa amani moyoni!
 
22-2=19....wewe jipu

Sent from my TECNO H6 using JamiiForums mobile app
 
Sijakataa kukosea kwangu,lakini kama Mimi ningemlazimisha kutoa ingekuwa jambo kubwa na tofauti sana.Najua ananipenda kwa hali zote lakini nahic kukosa amani moyoni!
Kwanza jiulize jee ukotayari kua Baba? umejipangaje kumlea mtoto au ndio wale wanasema kila mtoto anakuja na rizki yake?
huyo mdada umesha poteza mda wake wakutosha na kukupenda juu mpaka unajua na still unajifanya uoni,ivi unajua umuhimu wa kupendwa au unajua wangapi wana taka kupendwa na hakuna wakuwapenda? juu thamani ya anaekupenda
utakuja kujuta na kujua kiasi gani huyo mdada alikua anaumia au ameumia alivyokua anakupenda by then its too late..
 
Back
Top Bottom