MLALUKO JR
JF-Expert Member
- May 3, 2015
- 962
- 309
- Thread starter
-
- #21
Ni kweli ndugu lakini kwangu nililiona si jambo jema kutoa mimba japo ilikuwa unplanned!! Nliona bora majukumu kuliko kutekeleza jambo lileMiaka 22 too young eb fanya maisha kwanza uone utazaliwa na kusingziwa watoto san
Sijakataa kukosea kwangu,lakini kama Mimi ningemlazimisha kutoa ingekuwa jambo kubwa na tofauti sana.Najua ananipenda kwa hali zote lakini nahic kukosa amani moyoni!Unafanya kazi au unasoma? wakati unafanya ngono kwanini hukuchukua kinga? ulimshauri kua kitakachotokea kwenye dhambi hiyo mlio ifanya uko tayari kuchukua majukumu la sivyo ndio itakua mwisho wenu?
age yako ni just 22 nimdogo sana hata kuanza huo mchezo ulitakiwa uwe chuo unashindana na wenzio kwenye masomo sio ngono that too zembe kwanini kijana ujipendi jamani........
Ananizdi mwaka mmoja yy 23Ww una 22? Yeye ana 17 kwanza huon unabaka?
Yy ni Mkubwa kwangu kwa mwaka mmoja japo alikuwa classmate Wang O level22-2=19....wewe jipu
Sent from my TECNO H6 using JamiiForums mobile app
Kwanza jiulize jee ukotayari kua Baba? umejipangaje kumlea mtoto au ndio wale wanasema kila mtoto anakuja na rizki yake?Sijakataa kukosea kwangu,lakini kama Mimi ningemlazimisha kutoa ingekuwa jambo kubwa na tofauti sana.Najua ananipenda kwa hali zote lakini nahic kukosa amani moyoni!