Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 73,773
- 102,126
Kwa hesabu zako hizi nawe tarajia kukutwa na haya yaliyomkuta huyu ndugu...
kuanzia siku aliyopata hedhi hesabu mpaka siku kumi hizo ni safe (kama anaenda 4days una 6days za kujivinjari), then danger ni kuanzia siku ya kumi na moja mpaka kumi na tano, ndani ya hizo siku ya 11 mpaka ya 15 kuna siku ambapo yai ndio litapevuka na mwanamke anakuwa na hamu sana ya ku-do. Baada ya hapo days zote zilizobaki ni safe mpaka hedhi. Then unahesabu tena kama hapo juu.
kama yeye anapata hedhi tar 17 na mme-do tar 14 according to my statement it was safe day. What matters muulize last hedhi alianza lini then count kama hapo juu utapata jibu.