Nashindwa kuelewa kama hii mimba mimi nahusika

Nashindwa kuelewa kama hii mimba mimi nahusika

Kwa hesabu zako hizi nawe tarajia kukutwa na haya yaliyomkuta huyu ndugu...

kuanzia siku aliyopata hedhi hesabu mpaka siku kumi hizo ni safe (kama anaenda 4days una 6days za kujivinjari), then danger ni kuanzia siku ya kumi na moja mpaka kumi na tano, ndani ya hizo siku ya 11 mpaka ya 15 kuna siku ambapo yai ndio litapevuka na mwanamke anakuwa na hamu sana ya ku-do. Baada ya hapo days zote zilizobaki ni safe mpaka hedhi. Then unahesabu tena kama hapo juu.


kama yeye anapata hedhi tar 17 na mme-do tar 14 according to my statement it was safe day. What matters muulize last hedhi alianza lini then count kama hapo juu utapata jibu.
 
Nyongeza ya maelezo zaidi hiyo hapo...
 

Attachments

  • uploadfromtaptalk1374230882259.jpg
    uploadfromtaptalk1374230882259.jpg
    26.1 KB · Views: 151
Hahaaaa mkuu naona ufanye party tu ya kujipongeza kwamba wewe baba kijacho na ujipange kulea mimba na mtoto pamoja na mama yake. Haina hata haja ya kuuliza kabisa.
 
HIYO NI MIMBA YAKO MKUU SIKU ZA HATARI NI SIKU TANO KABLA YA HEDHI,KUANZIA TRH 13 NI HATARI KWAKE ALAFU SPERM AU MBEGU ZINAKAA KWA MWANAMKE MUDA WA MASAA 72,SAWA NA SIKU 3 ZIKISUBIR YAI ENDAPO HALIJAWA TAYAR HUTOKA KWA NJIA YA MKOJ O au ZINABADILISHWA KUWA CHAKULA CHA MWILI HESABU TOKA TRH 14 HAD CKU TATU MBELE KAMA HUJAMSABABISHIA JANGA NTOTO WA MWENZIO!!!by jenias wa shule ya kata

Hiyo biology yako uliisoma katika kitabu kilichochakachuliwa. Aliyeandika ana degree feki au wewe hukuelewa kilichoandikwa.

Soma comments za hao hapo juu kuhusu mzunguko wa hedhi.
 
hebu nieleweshe jamaniii!! Huyu aliingia period tar 17 akamalza tar 22 mwez wa kwanza, then mm nikaja ku do nae tar 14 ya mwez wa 2 baada ya hapo demu akanimbia ana mimba

kwa maelezo haya MIMBA SIYO YAKO!
 
Kwa hesabu zako hizi nawe tarajia kukutwa na haya yaliyomkuta huyu ndugu...



My friend hayo ndio mahesabu ya MC. Usimdanganye kaka wa watu akalea mtoto asio wake. Am very good in this. Na kama ushagundua huwa sicomment kiushabiki ndio mana sikumwambia ni yake au sio yake ila nikampatia formula adifferentiate na kuintergrate ili apate jibu mwenyewe.


Sasa wewe nawe mpatie mwongozo na final jibu ataamua mwenyewe.
 
hebu nieleweshe jamaniii!! Huyu aliingia period tar 17 akamalza tar 22 mwez wa kwanza, then mm nikaja ku do nae tar 14 ya mwez wa 2 baada ya hapo demu akanimbia ana mimba
Kwa maelezo haya siyo yako,bt kitanda hakizai haramu!
 
Mtu mzima toka mbio!ngoma si yako hiyo! maaana kwa tarehe hizo unaenda kavu bila shida na havimbi mtu.
hapo itakuwa aidha kavimba zamani kupitia mshua mwingine au hana kabisa uvimbe ila anataka akuletee za "mi siko tayari kuzaa lete mafweza tuitoe' hapo atakula mkwanja mbuzi ,atakula likizo ndefu na kujivinjari na mpenzi mwingine na atajifanya ana complications akuweke roho juu na utamimina fedha za tiba kama huna akili nzuri vile!
 
duh kiuhakika hiyo mimba SIYO YAKO!!!!!!!!!!!!!
 
Hana mimba huyo, inawezekana una mkono wa birika wewe mdada kaamua kusingizia ana mimba ili umpe laki akajifanye anaenda kutoa mimba
 
condom kutumia hutaki ukitajiwa mimba unadiscus kila mwezi umejikunja tu kifuani kwa mtoto wa mwenzio sa hizi unauliza hata kama c yako kuwa responsible kama real man.mpuuzi kabisa wwe kama ulikua unataka haki c ungepeleka mahari uoe kabisa kuku wa kienyeji wewe pambaaafu
 
Back
Top Bottom