Nilijua tu😆Kuna ugonjwa wa akili unaitwa Schizophrenia.
Ugonjwa huu huusisha kusikia sauti na kuona viumbe ambavyo kiuhalisia havipo.
Schizophrenia is a serious mental health condition that affects how people think, feel and behave. It may result in a mix of hallucinations, delusions, and disorganized thinking and behavior.
Hallucinations involve seeing things or hearing voices that aren't observed by others.
Schizophrenia - Wikipedia Schizophrenia - WikipediaView attachment 3558759
Angethibitisha ukweli wake vizuriUngemfuata ili uondoe huo utata.
Ungemfata umuulize imekuaje akawa hai
Kuna msanii mmoja wa hapa bongo anaitwa Baddest 47.
Upo sawa kabisa ubongo kuleta illusion za ajabu ni jambo la kawaida tu , kuna wengine wakipata masimulizi ya kutisha hasa nyakati za usiku, ubongo unawaleta illusion za ajabu tu.Kuna ugonjwa wa akili unaitwa Schizophrenia.
Ugonjwa huu huusisha kusikia sauti na kuona viumbe ambavyo kiuhalisia havipo.
Schizophrenia is a serious mental health condition that affects how people think, feel and behave. It may result in a mix of hallucinations, delusions, and disorganized thinking and behavior.
Hallucinations involve seeing things or hearing voices that aren't observed by others.
Schizophrenia - Wikipedia Schizophrenia - WikipediaView attachment 3558759
Mbojo ni nini?mbojo huwa haiongei
Mkuu haya mambo yapo unajua😞Kuna msanii mmoja wa hapa bongo anaitwa Baddest 47.
Aliimba wimbo wake unaitwa "Mauzauza"
Mleta mada ndio anayaona hayo mauza uza...🧟♀️🧟
Huyu jamaa kama alimuona kweli huyo maza, si angemuita kumuuliza vipi?Upo sawa kabisa ubongo kuleta illusion za ajabu ni jambo la kawaida tu , kuna wengine wakipata masimulizi ya kutisha hasa nyakati za usiku, ubongo unawaleta illusion za ajabu tu.
Unaweza kuthibitisha kwamba yapo kwa uhakika kabisa.Mkuu haya mambo yapo unajua😞
Yeah kuna mwengine walivuta pollen za magic mushroom wakapa mauza uza wakaenda kuombewa vibaya mnoHuyu jamaa kama alimuona kweli huyo maza, si angemuita kumuuliza vipi?
Huyu kapata illusion, malue lue tu.