Nashindwa kuelewa tukio hili ambalo nimekutana nao

Nashindwa kuelewa tukio hili ambalo nimekutana nao

Inaendelea,

Kwanza mchawi huangalia mtu gani anayetaka kumchukua kama msukule hivyo mipango inaanza kama ifuatavyo, kuna mmea mmoja ambao sitoutaja anaenda kuuchuma huo...

pia kuna aina ya chura ambao ni aina ya tofauti na hawa chura tunaowaona mara kwa mara...pia anachukua huyo chura,

aina hii ya chura huwa wana tabia moja kwamba wakiona dume anataka kufanya nae mapenzi na yeye hamtaki basi hujifanya amekufa na anauwezo wa kupunguza mapigo yake ya moyo mpaka akawa kabisa kama amefariki na anaenda mbali zaidi kwa kujifanya hadi amekauka kiufupi hata wewe mtu ukimkuta chura huyu utajua amekufa ila hapana ni aina ya mbinu anayotumia kumkwepa dume, na anaweza kufanya amefariki hata kwa muda wa siku kadhaa bila kula wala kunywa chochote,

Sasa aina hii ya chura pia mchawi lazima awe nae na akishampata anamuua huyo chura na kumkausha kisha kumsaga mpaka awe majivu kabisa... na unaweza kujiuliza je kama chura huyo hapatikani sehemu aliyopo je atafanyaje ?

Kiufupi sio kila mchawi anapewa mafundisho ya kuchukua msukule maana ni process nitaelezea kila kitu.... Kama chura hapatikani basi mchawi ataagiza unga wa aina hiyo ya chura kutoka kwa waganga au wachawi wengine anaofahamiana nao

Inaendelea
 
Jamii zetu za kiafrika bado watu wengi wana amini kwenye vitu vingi visivyokuwa na ukweli.

Habari za uchawi hazina ukweli wowote ule.

Wakina Elon Musk wanawaza kwenda kwenye Universe juu angani huko. Sisi bado tuna mawazo ya kijima ya uchawi na kulogana.
Kwahiyo na sisi tunaoambiwa na mchungaji, ''Pokea gari!” Tunajibu napokea! Huku wajapan wanatengeneza magari usiku na mchana tunakosea🙄
 
Mashetani kama nyie namkosekanaga, cha ajabu utakuta praise team kiongozi ni mchawi humo! Na hapo ushalamba wana choir wote🫢
Hapo kwenye kuwalamba wanakwaya nitoe Kabisa, mm n nyeto tuu.

Mm nimeokoka Ndo mana hata dhambi ya uzinzi siitaki, Nataka Mwanamke wangu wa kwanza kusex nae iwe kwenye ndoa tuu.

Kama wachawi wapo, bc cjawah kuwaona
 
Kwahiyo na sisi tunaoambiwa na mchungaji, ''Pokea gari!” Tunajibu napokea! Huku wajapan wanatengeneza magari usiku na mchana tunakosea🙄
Pakubwa sana.

Hakuna kitu kinaletwa kwa maombi tu.

Ingekuwa ni rahisi hivyo mchungaji akisema tu "pokea gari" mkitoka nje kwenye car parking ya kanisa, mngekuta kila mtu kashushiwa gari lake.
 
Hapo kwenye kuwalamba wanakwaya nitoe Kabisa, mm n nyeto tuu.
Nyeto si ndio dhambi mbaya utakuwa na spiritual wife wewe
Mm nimeokoka Ndo mana hata dhambi ya uzinzi siitaki, Nataka Mwanamke wangu wa kwanza kusex nae iwe kwenye ndoa tuu.

Kama wachawi wapo, bc cjawah kuwaona
Umeokoka unapiga nyeto mfululizo!??

Wachawi utaendelea kuwasikia tu
 
Back
Top Bottom