Nashindwa kuelewa tukio hili ambalo nimekutana nao

Inaendelea

Mchawi akishakuwa na unga wa huyo chura jike pamoja na mmea ambao sitoutaja kwa sababu kadhaa, basi mchawi atachukua huo unga wa chura pamoja na mmea atachanganya vyote kwa pamoja, ila huo mmea pia atausaga mpka uwe unga kabisa,

Sasa hapo dawa ya kupata msukule inakuwa imekamilika na kinachofuata ni kuhakikisha hiyo dawa anaitumia kwa njia zifuatzo ili amchukue mtu msukule, Njia ya 1. ni kumpulizia mtu anayemtaka,
2. Ni kuhakikisha mtu anaigusa kwa kiwango kadhaa au anaweza kumuwekea kwenye shati ila kinachotakiwa ni hiyo dawa iingie mwilini kwa aidha pumzi au iguse mwili na ibaki kwa muda kadhaa bila kuoshwa kwa hiyo hapa mara nyingi ni njia ya kuiweka kwenye shati au kwa kupeana mikono ndo njia zinazotumika,

Utajiuliza je wakipeana mikono si hata mchawi atadhulika maana mchanganyiko huu ni sumu moja ya hatari ambayo nitaeleza ubaya wake uko mbeleni, ila la hasha mchawi anajua ni nini anapaswa kufanya mara baada tu ya kugusa unga huo kwani kuna aina ya mmea ambao ukipaka mchanganyiko huo unakosa nguvu kabisa na hautokudhulu.

Sasa mchanganyiko huo wa unga wa huyo chura na unga wa mmea hutengeneza sumu moja ya hatari sana ambayo kitu cha kwanza inaenda kushambulia ubongo kisha inafata moyo, ndomaana ukifatilia visa vya watu wengi wanaosadikia wamechukuliwa msukule basi utasikia aliumwa sana na kichwa na asubuhi akafariki. Ila kiufupi hajafariki nitaelezea nini kinatokea.....

Ningetamani utaje huo mmea, kuna mtu humu anataka kunizoeašŸ¤”
 
Uongooo!!

Huwezi kunifundisha biblia! Adam na hawa walipoasi ndipo wakajitambua na wakaenda kuanza kuishi kama wanadam, wakazaliana
Nipe Sababu za Mungu kusema sio vyema Adam awe pekee yake.

Kuhusu uzao wa Adam, kaa chini usome tena biblia uelewe Na sio kukariri
 
Siku moja niliona kwenye Group la chuo mtu akipost picha wakitoa pole kwa msiba wa mwanafunzi mwenzetu kufariki(msiba ulitokea kabla sijajiunga). Sikujua kama alifariki yule dada, nikazama PM kwa mshikaji wangu kumpa pole kufiwa na demu wake wa chuo. Jamaa akanijibu ndio hivyo aliugua akafariki.

Mwaka jana nilikutana na mshikaji mmoja anafanya kazi ofisi ya marehemu. Tulikuwa kampani, mtu mmoja akaonyesha anahitaji msaada kwenye ile ofisi. Jamaa akimpiga simu akitaja majina ya yule dada marehemu. Nikashangaa, nikamuuliza vizuri, akataja sifa zote za yule dada akanionyeeha na picha kujiridhisha kama ni yeye.

Mpaka leo sijawahi kujua nini kilitokea.
 
Back
Top Bottom