Nashindwa kuelewa tukio hili ambalo nimekutana nao

Kw scenario hiyo uliyoelezea inaonyesha huyo mama hakufa ila alichukuliwa msukule, Naludia tena kwa kukazia zaidi hakuna mtu au shetani anaweza kuua mtu na kumludisha tena uhai,

Msukule ni mtu aliye hai kabisa na wala hachukuliwi kimazingara kama ambavyo watu hudhani na leo nitatoa somo jinsi misukule inavyochukuliwa hii nitaandika kwa comment zinazofatana ili iweze kusomeka vizuri bila kuchosha.

leo nimeona niandke hili suala maana nilishawahi kusema nitaandika kuhusu misukule inavyochukuliwa ila mimi ni mvivu wa kuandika Threads ila leo acha nijikaze niwape hii siri.
 
Mtoa post, haya mambo huwa yapo hasa vijijini, unasikia mtu kafa, after days anaonekana mitaan, unakuta yule mtu kafa kwa uchawi, hakufa real. Walokulia mijini/ mashulen hawatakuelewa, ndo matokeo yake watasema unamatatzo ya akili.
Uliwahi kuona au na wewe ulisikia tu, nimeishi na jamii za wafyomi hizi stories wanazo sana lakini ni masimulizi tu hakuna aliyewahi shuhudia , ni maneno yakuambiwa na kuyahamisha kama yalivyo tu
 
Kw scenario hiyo uliyoelezea inaonyesha huyo mama hakufa ila alichukuliwa msukule, Naludia tena kwa kukazia zaidi hakuna mtu au shetani anaweza kuua mtu na kumludisha tena uhai,

Msukule ni mtu aliye hai kabisa na wala hachukuliwi kimazingara kama ambavyo watu hudhani na leo nitatoa somo jinsi misukule inavyochukuliwa hii nitaandika kwa comment zinazofatana ili iweze kusomeka vizuri bila kuchosha.

leo nimeona niandke hili suala maana nilishawahi kusema nitaandika kuhusu misukule inavyochukuliwa ila mimi ni mvivu wa kuandika Threads ila leo acha nijikaze niwape hii siri.
Leta mkuu tunakuwait
 
Kuna ile kuhisi kama kukabwa usiku , utasikia

"shindwa kwa jina ya yesu , nikazinduka , halafu baada ya kukemea ni kama nashindwa kutamka , nilivyozidi kutaja jina la yesu nikaachiliwa nika amka "

kumbe ni half sleeping paralysis tu.
IMG_7491.jpeg

Unabisha ?
 
Back
Top Bottom