Nashindwa kuelewa tukio hili ambalo nimekutana nao

Kuna ugonjwa wa akili unaitwa Schizophrenia.

Ugonjwa huu huusisha kusikia sauti na kuona viumbe ambavyo kiuhalisia havipo.

Schizophrenia is a serious mental health condition that affects how people think, feel and behave. It may result in a mix of hallucinations, delusions, and disorganized thinking and behavior.

Hallucinations involve seeing things or hearing voices that aren't observed by others.

Schizophrenia - Wikipedia Schizophrenia - WikipediaView attachment 3558759
Huo ugonjwa chanzo chake huwa nini
 
Ulichokiona inawezekana ndo uhalisia na hayo mambo ya kuchukuana misukule yapo,hata mkoani katavi wilaya ya mpanda katika Kijiji flani Kuna mtumishi mmoja wa afya alikua kipenzi Cha wanajamii basi akawa amefariki kifo Cha kutatanisha tu.So baada ya kama mwezi baada ya mazishi yake watu wakawa wanamuona au wanapishana nae mtoni wakienda chota maji.Ko kwa upande wangu hata sikupingi.
Pia Kuna ndugu yangu mmoja(mtoto wa shangazi) wakati huo aged kama 28 alipotea ghafla nyumbani kwao mida ya saa 4 usiku alikujapatikana mishale kama saa 7 usiku kachakaa chakaa kipoli poli.
Kupatikana kwake ni baada ya wanandugu kuungana kwenda kuliamsha kwa jirani wao ambae alikua akihisiwa ni mchawi.Baada ya kuliamsha huyo jirani Yao aliwajibu ngoja tuombe mungu atapatikana na kweli baada ya masaa kadhaa akarudi mwenyewe hajielewi wapi alikua.
Chanzo Cha kupotea kwake kwa mujibu wa maelezo ya wanandugu walisimulia kua "muda mfupi alikua hapa nje akisema kuna watu watatu anawaona wanamchungulia huku wakimkonyeza".
 
Inaendelea

Basi mchawi akisha hakikisha aidha kampuliza mlengwa wake hiyo sumu au kamuwekea kwenye nguo, yeye mchawi hujua kiwango cha hiyo sumu aliyoweka itaanza kufanya kazi baad ya siku ngapi,

Sumu ikishaaanza kushambulia ubongo na kisha moyo basi mapigo ya moyo huanza kushuka na mwshoe hupotea kabisa na huwa wa baridi na kukauka ngozi kwa kifupi hakuna kifaa hata kimoja cha hospitali kitakachoweza kuonyesha kwamba moyo unadunda au kitasema kwamba mtu ni mzima ila itaonyesha amekufa... Hapa sasa ndo utajua kwanini chura yule jike hutumika maana sumu yake ndo inasababisha mtu kuonyesha dalili zote za kwamba mtu amekufa ila hapana hajafa..

Kiufupi mlengwa anakuwa hajafa ila ile sumu inakuwa imeleta pararaizi ambayo ni ya kiwango kikubwa mno kinachoathiri hadi moyo kwa kiwango kikubwa,

Hivyo baada ya mtu kuonekana amefariki...mchawi yeye hujua kiwango cha sumu aliyompa itaisha nguvu baada ya siku ngapi tangu mtu kuonekana kafariki, hapo inaweza kuwa ni sumu ya siku sita, saba au nane etc.

Sasa kwakuwa mchawi anajua sumu hiyo itaisha baada ya siku ngapi...na ikiisha kinachofuata ni mlengwa kuzinduka ila hatokuwa na akili timamu huwa anakuwa kama na mtu mwenye tatizo la usonji au anaweza kuwa kapoteza kumbukumbu nyingi au anakuwa hawezi kufikiri sawa sawa kwani ubongo unakuwa umeathiriwa vibaya sana na ile sumu.

Hivyo mkishazika mtu ambaye anaonekana kafa ilihali ni kazimia tu... Yeye Mchawi huenda kumfukua mlengwa wake zikiwa zimesalia siku kadhaa kabla ya sumu aliyompa kuisha nguvu kwani anajua asipofanya hivyo mtu atazinduka na ataishiwa pumzi huko kaburini na atafariki.

Kwahyo mchawi humfukua mlengwa wake na anampatia baadhi ya mitishamba ili kuondoa baadhi ya sumu za ule mmea kwani asipofanya hivyo mtu huweza kuwa chizi kabisa na yeye mchawi lengo lake sio kukaa na chizi,

Akishampatia hiyo mitoshamba basi huanza kumtumia aidha kulima mashamba yake nyakati za usiku au kumuweka tu ndani na kumtesa kwa kumpa chakula kibovu na kumpiga na pia jambo la muhimu zaidi huwa anamkata msukule wake ulimi ili asiwe anaweza kuongea.

Na hivyo ndo jinsi msukule anavyochukuliwa, ila habari njema ni kwamba kama ukikutana na msukule usiogope huyo ni mtu kabisa kama wewe sema tu sumu aliyopewa imemharibu akili,

ila kama ukimuokoa msukule kutoka mateka ya mchawi anayemfungia... basi kuna baadhi ya waganga au hata hospitalini wanaweza kumtibia na mtu akapona kabisa na kuludi hali yake ya utimamu wa akili. Kwahiyo msukule sio mtu aliyekufa na wala hana nguvu zozote za kupotea, pia hana hata nguvu zozote za kiroho za kimiujiza,

Cha kuongezea pia japokuwa hii ni nje ya mada ni kwamba Mchawi yoyote anayekuroga ni lazima kuwepo na physical contact au ukaribu, kiufupi hakuna uchawi wa kutumwa kama mnavyohadithiana kwamba mtu yupo Mwanza anamlushia jini mtu aliyepo Dodoma. Hapana haipo hivyo

Hata nguvu za kupaa na ungo au kutoweka wachawi hawana nguvu hizo ila zilikuwepo hizo nguvu kwa miaka mamilioni nyuma ila mlango huo wa kichawi ulifungwa na mwenye dunia yake, kwahyo kwa sasa mtu asikudanganye hakuna mchawi anayeweza kupaa na ungo wala kutoweka au hata pia kumlushia jini mtu akiwa mbali ila mchawi ili akuroge ni lazima atengeneze dawa kwa kutumia mitishamba kisha aidha akupulizie au akuwekee kwenye chakula au atege ukanyage ndo hiyo sumu ikiingia ndani mwako ianze kukutesa. Na hapo ndo Demons zitaingia kupitia milango ya mateso yako yaliyosababishwa na sumu. Na demons hapo zitakuwa na kazi ya kunyonya energy ya roho yako kwa kukutia hofu akilini na Kukukatisha tamaa tu basi.

Kwa leo tuishie hapa ila eleweni wachawi hawana nguvu hizo za kimiujiza ila wana elimu ya juu mno ya mitishamba na kutengeneza sumu kwaajili ya kutesa miili ya watu na kuharibu saikolojia za watu.

MWISHO
Hua wanawaficha wapi wasiweze kuonekana kabisa na binadamu wengine?Hiyo misukule anaiukuaje kwa kufukua kile kifusi au Kuna njia mbadala wanatumia?
 
Nkuulze umesema akizinduka uko kaburini ataishiwa pumzi na atakufa, kwani muda huo kazikwa niseme watu wamekaa msibani siku tatu kwamba muda wote wa siku tatu anaweza kusurvive bila pumzi uko chini?, pls make it make sense nielewe.
 
Ooh dah haya mambo kumbe yapo🙌🏾

Kuna scenerio fulani hivi ilishawahi kunitokea kijijini kwetu wakati nikiwa mdogo, umri wa kama miaka 9 hivi. Miaka ya nyuma kulikua na ule mtindo wa familia nyingi kurudi vijijini kula krismasi, kwaiyo ile likizo ya mwisho wa mwaka yote mara nyingi tulikua tunakuwa vijijini(madogo wa 2000 hawajaukuta huu mtindo wa maisha)

Sasa bhana siku moja tupo chini ya mwembe tunaokota okota maembe tulikua watatu nafikiri. Wakati tunaendelea alitokea mtoto mwenzetu mmoja. Hakuna anaemjua wala aliemuona alivyofika pale.

Tukachukulia poa tukaendelea na story huku kila mmoja anazunguka zunguka eneo ilo kuokota maembe. Yule mwenzetu alikua anauliza maswali kuashiria ni mgeni na sisi tukawa tunamuuliza maswali ya kawaida tu. Unajua mpira? anajibu ndio. Nikamwambia njoo badae ucheze kuna mechi, na story tu za hapa na pale.

Sasa wote tumegeukiana yule mwenzetu hatumuoni. Kuulizana hakuna aliemuona wakati anaondoka. Tukapotezea tu na kuendelea na mambo yetu. Lakini lile tukio nalikumbuka mpaka leo.

Ule mti upo sehemu ya wazi mtu akitokea upande wowote mtamwona. Halafu kuna nyasi ambazo zinatoa sauti zikiguswa wakati wa kutembea. Ilikuaje yule mwenzetu afike na kuindoka bila kumwona wala kusikia vishindo vyake. Harafu sasa hatumjui na hatujawahi kumwona tena.

Huko vijijini kuna mambo mengi sana hatuyajui
CC: Poor Brain

Ulizia ukaishi huko Mkuu
 
Kwamba huyo binti kipindi hiko ujaanza chuo ndio huyo huyo aliyetajwa na huyo jamaa? Je jamaa amekutajia kama mtu aliye hai au amefariki ?

Na uliweza kuthibitisha kuwa ni yeye mkuu
Sio binti, mwaka huu ni aged 35-40
Kiufupi
Aliongea na huyo staff mwenzie tuliyekuwanaye kumuuomba asolve issue ya mdau aliyekuwa na shida
Nilionyesha kumfahamu baada ya kusikia akitajwa. Nikataka kujua zaidi kama ndiye ninayemfahamu? Akanipa picha kunionyesha huyo dada ndiyo huyu-unamjua? Nikamwambia nilisoma naye chuo
 
Huo ugonjwa chanzo chake huwa nini
. Genetics
Family history and genetic factors passed down from generations can increase the risk of developing schizophrenia. If a close relative, such as a parent or sibling, lives with schizophrenia, the likelihood of developing it is higher.

2. Environment
Environmental influences, such as stressful life events or exposure to certain factors during pregnancy, may play a role in the development of schizophrenia. This can include prenatal exposure to infections, malnutrition, or toxins.

3. Brain damage
While a traumatic brain injury does not directly lead to someone experiencing schizophrenia, it can increase a person’s risk. However, brain damage that has stopped your brain from growing at a normal rate either during birth or when your mother was pregnant, can be a cause of developing schizophrenia.

4. Drugs and alcohol
Research shows that the use of psychoactive or recreational drugs, like cannabis, LSD and amphetamines, especially during adolescence and young adulthood, can increase the risk of developing schizophrenia.

5. Psychosocial factors
Childhood trauma, abuse, or neglect, can increase the risk of developing schizophrenia. Social isolation, poor family relationships, and high levels of stress can also be factors.
 
Uenda nikawa na tatizo ilo maana sielewi na sijawahi kuwa na mawazo yeyote juu ya uyu mama au la. maana naona kama ni mauzauza tu
Mtu azikwe alafu eti tena nije kumuona mmmm sijui labda nimeanza kuchizika maana mpaka sasa nahisi moyo wangu hujatulia mapigo ya moyo yanaenda kasi nahisi kuchanganiki😭😭
Inabidi uende kwa mtaalamu wa ushauri nasaha, akakupe ushauri.

Au ujaribu kubadilisha mazingira uliyopo kwa sasa, uende hata mkoa mwingine ukapumzishe akili.
 
Kuna ugonjwa wa akili unaitwa Schizophrenia.

Ugonjwa huu huusisha kusikia sauti na kuona viumbe ambavyo kiuhalisia havipo.

Schizophrenia is a serious mental health condition that affects how people think, feel and behave. It may result in a mix of hallucinations, delusions, and disorganized thinking and behavior.

Hallucinations involve seeing things or hearing voices that aren't observed by others.

Schizophrenia - Wikipedia Schizophrenia - WikipediaView attachment 3558759
Almanusura nipate huu ugonjwa,niliona jeneza barabarani limedondoka!
 
Back
Top Bottom