Matawi ya juu
JF-Expert Member
- Mar 5, 2019
- 8,048
- 15,651
Ungempa interview ya matukio yaliyotokea na imekuwaje yuko pale wakati alishafariki huku una record, tungeweza kuamini kidogo lakini tungeweza kusema video yako ni ai au chai ☕️, story yako inatufanya tujiulize zaidi kuhusu wewe kama uko sawa kichwani 😁